Lowassa ni pandikizo la JK kwenye list ya mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa ni pandikizo la JK kwenye list ya mafisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by stratex, Apr 14, 2011.

 1. stratex

  stratex Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kwamba baada ya Chama Tawala kuona RA anatafuna kila senti ya serikali na wananchi wake kwa manufaa yake binafsi bila kugawana "kikamilifu" na wenzake, huku Chama kikichukua LAWAMA zote na yeye akiendelea kudunda bila wasiwasi, chuki na wivu dhidi yake imefanya chama kifanye maamuzi magumu ya kumtoa kafara kukinusuru chama.

  Imedhiirika pia katika ufisadi wake, RA alitumia busara kuhusisha viongozi wa ngazi za juu kwenye ufisadi alioufanya (EPA, Richmond, TICTS,Dowans etc ) ili kuhakikisha hakuna mwenye nguvu ndani ya nchi hii anabaki msafi kuzuia kuchukuliwa hatua za kisheria peke yake. RA alihakikisha kila chombo cha dola nchini kimehusika kwa kiasi cha kutosha kuhakikisha anafanikiwa kwenye mipango yake na viongozi wa vyombo hivyo wanafaidika kwa kiasi cha kutosha kuwafanya wasimguse.

  Tatizo kubwa ni kwamba serikali imeshindwa kutathmini nguvu halisi alionayo RA.
  Katika harakati za kumtosa RA , ilionekana vyema Chenge naye atoswe kwani hana manufaa yoyote kwa chama na amechangia kwa kiasi kikubwa kubomoa zaidi ya kujenga chama kwa kashfa na kauli zake.

  Lowassa kuwekwa kwenye kundi la RA na Chenge ulikua ni mpango maalumu kuhakikisha kuna mtu wao karibu na RA (na Chenge) kujua mikakati yote RA amepanga kuhakikisha haguswi. EL atakua anakusanya data kujua watu gani ndani Usalama wa Taifa na vyombo vyengine vya dola wapo upande RA na wanatumia mbinu ganu kuhakikisha Kikwete na wenzake wanashindwa kufanikiwa.

  Baada ya EL kukamilisha hiyo shuguli na kuhakikisha RA "hayupo" tena , chama kitamrudisha na kumsafisha EL kwa ajili ya kuwania urais 2015.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135


  :yield::nono::nono::nono::faint:
   
 3. a

  allydou JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,485
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  ngumu kumesa rafiki
   
 4. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kwa hawa jamaa, sinta shangaa kuona wanafanikisha hili :disapointed: :disapointed:
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ukitafakari na kufikiria mambo ya CCM unaweza kukosa hata hamu ya kula
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  too much drama, speculations na majungu hadi inaboa sasa!!!
   
 7. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  yataka moyo
   
 8. s

  sativa saligogo Senior Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  EL hana nafas,i sababu urafkii wao sasa ni wa mashaka! yaani rafiki mkia wa fisi unaofilisi! remember Bob Astles rafiki wa Idd Amin walivyoshauriana kuvamia Tz nn kilitokea???? kipigo na kusambaratika!! Kwa mantiki ya kawaida JK ameelewa hilo mapema kwamba RA ni BobAstles wa EL ndio maana wamevuliwa gamba????

  THE FALCON CANNOT HEAR THE FALCONER!!!!
   
 9. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,634
  Trophy Points: 280
  kwakweli kazi tunayo kama ni kweli JK tumwonee huruma jamani, Mgamba haya mazito, yana ukurutu ukivua vibaya yanakuchoma unabaki na vidonda
   
 10. G

  Gurti JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  No Comment
   
 11. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  ni mapema sana kujua. TIME WILL TELL.
   
 12. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine speculation kama hizi huwa na ukweli wake wenye kutia mashaka
   
 13. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Stori hii ilivyokaa inaonekana dhahiri yakuwa imejikita zaidi katika zoezi la kupima mambo (academic exercise) kuliko ushahidi halisi. Mbali na hayo uchambuzi uliofanyika umeshindwa kuweka maanani kwamba E.L anao maadui wa kweli ndani ya uongozi wa juu wa CCM. hali hiyo itasababisha kusiwepo uwezekano wowote wa kumteua kupeperusha bendera ya chama hicho, baada ya kutolewa nje kwa tuhuma za kukidhohofisha.
   
 14. M

  Micho Senior Member

  #14
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  HIvi hiki chama kimekosa watu wa safi wa kuiongoza hii nchi mpaka awe EL......Mbona Sitta msafi tu kwanini wasimsimamishe yeye...
   
 15. stratex

  stratex Member

  #15
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo uswahiba unawasumbua....mimi hata sikuona haja ya chama kumuweka JK kama mgombea 2005, sioni sababu ya Makamba kuwa katibu Mkuu, wote hawa uwezo wao kwenye hizo nyadhifa ni mdogo sana! kuna "machine" nyingi tu ndani ya chama ambazo wangeziweka na zikafanya kazi nzuri tu. Tatizo fedha ilitumika sana bila kudhibitiwa katika kampeni za ndani ya chama, matokeo yake ndio ufisadi uliopita kiasi , na matunda yake ndio haya sasa! Na hii michezo ukishaanza ni vigumu sana kuacha!
   
 16. A

  Anold JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Wamsafishe mara ngapi? hawa jamaa wanajuana na kinachoendelea sasa hivi ni kuchanganikiwa baada ya kushindwa vibaya kwenye uchaguzi, CCM hawataki kukiri kosa walilolifanya wakati wa kura za maoni kwa kufanya roho mbaya na kuweka watu wanaowataka ndiyo maana sasa hivi Nape wanamuona ana maana wakati wa kura za maoni walimpotezea kiti kikaenda kiulaini na Mnyika
   
 17. F

  Froida JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  lowasa ni mwizi tu labda kinachomuuzi ni JK kumtosa na kumharibia sifa milele hasafishiki hata kwa dodoki la chuma
   
Loading...