Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wiki iliyopita serikali iliwasilisha bungeni muswada wa kupitia katiba kwa nia ya kuundwa tume ikakayoratibu mchakato wa kupata Katiba Mpya na iliamua kutoa nafasi kwa wananchi na wadau mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwasasa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara. Katika nafasi hiyo hana ujasiri kama Mzee John Samweli Malecela. Amekuwa mtu wa kulalama. Amekuwa Spika wa Bunge la JMT kati ya Chief Adam Sapi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wanachama wa UVCCM waomba uongozi wao ujiuzuru , baada ya kutoa matamko ya kukashfu viongozi wa chama na serikali wastaafu -East Africa Radio news UPDATE...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bill on Constitution ‘will be withdrawn' Thursday, 14 April 2011 22:42 By Mkinga Mkinga The Citizen Reporter Dodoma. The Constitution Reform Bill, which has sparked heated arguments at...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Is a mob party, emotional in decisions, likes violence, pessimistic, few ring leaders not national, uses force, influences gang, acts like adolescent who all time feels not free. Likes to provoke.
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Ndugu watanzania waaminifu wenye kupenda kuona maendeleo ya nchi yao na ustawi wake kwa ujumla, Salam sana.... Jamani, siku zote mfa maji hakosi kutapatapa, na mara nyingi mtu akaribiapo kukata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanachojaribu kukifanya CCM kujiokoa na kupoteza umaarufu kwao naona hakiwasaidii lalote zaidi ya kusema watapoteza fedha bure endapo watatumia mabadiliko ya juzi ktk CC na Secretariet kujinadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
embu itazameni hii video kisha dondosha ujumbe wenye akili http://www.eastafricantube.com/media/46285/Dramatic_video_of_Gbagbo_arrest_as_troops_storm_Iv ory_Coast_residence/
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kikwete ameyapa mafisadi siku 90 wajiondoe wenyewe kwenye uongozi wa chama, hii sioni kama ni sahihi kuwapa mda ilitakiwa waondolewe kwa aibu ili wajutie matendo yao mabaya walio tendea Wa Tz
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Kama kuna chama cha siasa kilichoshindwa kusoma alama za nyakati kisiasa,basi chama hicho si kingine ila ccm.Chama hiki hivi karibuni tumeshuhudia kamati ya sekrearieti ya chama ikijiuzulu ktk...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Jabir Idrissa MUSWADA wa serikali wa “Sheria ya Marejeo ya Katiba” wa Mwaka 2011, umeelezwa kuwa ni kitanzi kwa wananchi. Unazuia wananchi kujadili mambo makuu yanayogusa maisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF Napendezwa sana na utendaji wa CDM katika kumkomboa mtanzania maskini, na tanzania kwa ujumla. Ningependa sasa elimu ya uraia ya chadema iwafikie watu wote hata waliopo vijijini. Je kuna...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
huyo katoka ikulu moja kwa moja jela ni bora kutenda haki kuliko aibu kama hii sio kwamba tanzania haita tokea, hapa itachukuwa muda lakini itatokea tu, kama wezi wa epa na futa msamaha wako kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nadhani mtamkumbua yule mkuu wa wilaya huko bukoba aliyewachapa walimu kwa uzembe wa kuchelewa na kutofundishwa mwaka juzi.Huyu mweshimiwa nimemkumbuka sana,anafaa sana awepo bunge kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi hii ina maana gani. Nilivyoona kamati mpya za CCM hii idara sikujua kuwa inawakilisha CCM kimataifa (ulimwenguni) Nilizania ni mahusiano kati ya CCM na vyama vingine? Ina maana kila chama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yawezekana ama kweli wameanguka kisiasa au ni mchezo wa kuigiza. Vyovyote ilivyo, kuna mabadiliko katika maisha yao ya kisiasa na kiuchumi na uwezo wao wa kuwezesha mawakala wao wa kisiasa na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wanabodi, Leo siioni TBC live ya Bungeni, wenye access na Star TV tuambiane kinachojiri, na kibidi mtupatie update ya maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu, na ni utaratibu, swali la kwanza...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Na Thaddeus Musembi Katika mafundisho ya Bibilia na yale ya Katoliki neno injili humaanisha masimulizi yahusuyo maisha na habari za Yesu Kristo. Katika uasilia wake neno injili humaanisha...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
anaglieni ripoti ya ukaguzi. Nafikiri mtaweza kufungua hapa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
sio siri chadema ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa lakini kimekuwa kina kashfa nyingi sana kama vile swala la udini,ingawa walijaribu kumuita kundini prof safari ili kufuta dhana ya udini...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom