Bravo ccm, bravoooooo

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
wadau nimejaribu kuperuzi siajona thread ya mtu akiwasifu CCM kwa hatua waliofikia ya kujisafisha mbele ya watanzania, naomba niwe wa kwanza kuwapa BRAVOOOOOOO

wamesikia kauli za walalahoi na wapenda mabadiliko na wameyafanyia kazi, wamefanya mabadiliko pasipo chama kufa, kubomoka wala kuyumba kama tulivyo taraji hii imethibitisha ukomavu mkubwa wa kisiasa

BRAVOOOOOOOOOO CCM BRAVOOOOOOOOOOO
 
Kwanini mods wameondoa "Groaning" button jamani dah ndo mda wake huu
 
Kwanini mods wameondoa "Groaning" button jamani dah ndo mda wake huu

Wameitoa nadhani ilikuwa inatumika vibaya, mfano jana nimeona JEYKEY mda wake mwingi kautumia ku-groan watu. Japo binafsi naona ingetufaa sana kujua watu wamepokeaji maoni yako, napendekeza irudishwe tuu.
 
Gamba gani walilojivua. Jamani tuwe makini. Tusiwa mashabiki kwa mambo muhimu. Kwa hali tuliyonayo hatupaswi hata siku moja kuzungumza. Hawa wanapaswa kutemewa mate tu! Uchumi.jpg
 
Hebu jaribu kuwapa muda kidogo kabla ya kutoa hayo ma bravoooo usije ukalazimika ufute usemi wako, inawezekana watu wanajipanga kujibu mapigo halafu wewe unasema mabadiliko ya amani yametokea, hawa watu hawatabiriki mzee.
 
Tuwape muda ndipo tuanze kutoa pongezi, JK hatabiriki kesho anaweza kumpa chenge ulaji katika tume ya kuratibu KATIBA. Mie sipo muda kuwapa hongera kwa kujivua gamba yaweza kuwa wamevua kwa muda halafu wavae magamba ya kutosikia lolote lisemwalo na watz!
 
Kikwete hawawezi hawa mafisadi kwani wanajua mapungufu yake ; toka walivyomaliza huo mkutano wao jamaa wamekutana na kuweka mkakati wa kuhakikisha kuwa hawatatoka NEC na kwenye uchaguzi wa CCM mwakani watahakikisha watu wao wanachaguliwa toka ujumbe wa nyumba kumi mpaka uenyekiti wa Taifa!! Kikwete has his work cut out for him!! Muda si mrefu ataanza kuwapoza kwa kupunguza makali ya Mukama dhidi yao kama alivyomfanyia Magufuli!!
 
teh teh teh!! bravoooo CCM kwa kuweza kuwahadaa wadanganyika!! mimi simoooo!!!
 
wadau nimejaribu kuperuzi siajona thread ya mtu akiwasifu CCM kwa hatua waliofikia ya kujisafisha mbele ya watanzania, naomba niwe wa kwanza kuwapa BRAVOOOOOOO

wamesikia kauli za walalahoi na wapenda mabadiliko na wameyafanyia kazi, wamefanya mabadiliko pasipo chama kufa, kubomoka wala kuyumba kama tulivyo taraji hii imethibitisha ukomavu mkubwa wa kisiasa

BRAVOOOOOOOOOO CCM BRAVOOOOOOOOOOO

Maumivu ya kichwa huanza pooolepole! :bored:
 
wadau nimejaribu kuperuzi siajona thread ya mtu akiwasifu CCM kwa hatua waliofikia ya kujisafisha mbele ya watanzania, naomba niwe wa kwanza kuwapa BRAVOOOOOOO

wamesikia kauli za walalahoi na wapenda mabadiliko na wameyafanyia kazi, wamefanya mabadiliko pasipo chama kufa, kubomoka wala kuyumba kama tulivyo taraji hii imethibitisha ukomavu mkubwa wa kisiasa

BRAVOOOOOOOOOO CCM BRAVOOOOOOOOOOO

Kweli wakazi ni wengi Tanzania lakini watanzania wenye uzalendo na kujua nini kinaendelea ni wachache sana. wewe kweli umepotea pole sana mkubwa. iko siku utajua nini maana ya umepotea. Yani hata hili la wazi kabisa huwezi kuona na kusoma alama za nyakati??????????
 
wadau nimejaribu kuperuzi siajona thread ya mtu akiwasifu CCM kwa hatua waliofikia ya kujisafisha mbele ya watanzania, naomba niwe wa kwanza kuwapa BRAVOOOOOOO

wamesikia kauli za walalahoi na wapenda mabadiliko na wameyafanyia kazi, wamefanya mabadiliko pasipo chama kufa, kubomoka wala kuyumba kama tulivyo taraji hii imethibitisha ukomavu mkubwa wa kisiasa

BRAVOOOOOOOOOO CCM BRAVOOOOOOOOOOO

The Following User Groaned at You Bruker For This Awful Post:

Sigma(Today)
 
Nyoka hata ajivueje GAMBA hawezi kugeuka hata mjusi hata siku moja.............:rip:CCM.
 
mpaka jk awamwage woote kuanzia mawaziri wake na wakuu wamikoa, wilaya na viongozi wa ccm mikoani ndo ntampongeza kwa sasa mmmh!
 
Back
Top Bottom