CHADEMA ni akina nani?

Nyami2010

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
227
50
Ndugu wana JF

Ninahitaji kujiunga na chama cha siasa hapa kwetu. Lakini, kabla sijafanya maamuzi ni chama kipi nijiunge nacho, inanibidi nitizame nyuma ya pazia la kila chama cha siasa hapa nchini "lifting of the vail".

1. Nilipofunua pazia la TLP na NCCR-Mageuzi, nikamkuta Mh. Lyatonga Mrema, n.k

2. Pazia la CCM: Niwewakuta waasisi akina Baba wa Taifa, Mzee Karume, n.k

3. C.U.F nimewakuta akina Prof, n.k

4. Naomba kujua ni nani na wako wapi waasisi wa CHADEMA?

Nisaidieni, maana ninataka kujiunga na chama cha siasa haraka iwezekanavyo
 
Kajiunge na chama cha BABA wa Taifa chama cha magamba na mafisadi!
 
Chadema wenyewe wamo humu humu JF, muda mrefu watakuja kujibu baada ya hapo utaamua.
 
Ndugu wana JF

Ninahitaji kujiunga na chama cha siasa hapa kwetu. Lakini, kabla sijafanya maamuzi ni chama kipi nijiunge nacho, inanibidi nitizame nyuma ya pazia la kila chama cha siasa hapa nchini "lifting of the vail".

1. Nilipofunua pazia la TLP na NCCR-Mageuzi, nikamkuta Mh. Lyatonga Mrema, n.k

2. Pazia la CCM: Niwewakuta waasisi akina Baba wa Taifa, Mzee Karume, n.k

3. C.U.F nimewakuta akina Prof, n.k

4. Naomba kujua ni nani na wako wapi waasisi wa CHADEMA?

Nisaidieni, maana ninataka kujiunga na chama cha siasa haraka iwezekanavyo
Mkuu mbona unatia aibu? Wewe njoo huku 'kwetu' CCM utapata kila kitu na mambo yako yatanyooka. Te he te he!
 
Uamuzi wa kujiunga CHAMA cha siasa ni maisha, kama yalivyo maisha mengine.

Mfano, kwenye ndoa au ata mahusiano ya kawaida uwa kila mmoja anakuwa na zoezi la kumjua mwenzie. Kwani wasifu (c.v) si muhimu wakati wa kumuajiri mfanyakazi?

Profile ya vyama na waasisi wao ni miongoni mwavigezo muhimu katika kuwapata wanachama.

Mimi tu kuulizia ni nani wako nyuma ya pazia la CDM, reaction inakuwa negative...jamani!

Negative response haiwezi kunipelekea kufanya maamuzi. Niambieni ni nani wako nyuma ya pazia la CDM.
 
CHADEMA ni, waTanzania halisi wanao ipenda na wenye uchungu na nchi yao. kama unafiti hapo jiunge ila kama ni masilahi binafsi usijisumbue kujiunga...
 
hivi mfano ukitaka kununua gari nilazima ujue alieligundua ni nani na ninani aliyekuwa wa kwanza kuliendesha? Me nadhan cha msingi nikutazama dira, malengo na uzalendo wa chama... Tunapaswa kupiga vita ufukara huu wa kimawazo.
 
Hata ww unaruhusiwa kupekua mafaili ili uwajue, sio lazima uambiwe na watu wengine. Watanzania tujifunze kufanya home work zetu wenyewe sio kila kitu utafute wa kukusaidia.
 
Uamuzi wa kujiunga CHAMA cha siasa ni maisha, kama yalivyo maisha mengine.

Mfano, kwenye ndoa au ata mahusiano ya kawaida uwa kila mmoja anakuwa na zoezi la kumjua mwenzie. Kwani wasifu (c.v) si muhimu wakati wa kumuajiri mfanyakazi?

Profile ya vyama na waasisi wao ni miongoni mwavigezo muhimu katika kuwapata wanachama.

Mimi tu kuulizia ni nani wako nyuma ya pazia la CDM, reaction inakuwa negative...jamani!
Negative response haiwezi kunipelekea kufanya maamuzi. Niambieni ni nani wako nyuma ya pazia la CDM.

Kaka hapo kwenye red, huwezi fananisha ndoa na chama (sisi kwetu mke haachwi) mpaka kifo. sidhani waasisi ni muhimu kupata wanachama nenda kasome sera na katiba za CDM na vyama vyote na fuatilia viongozi wa CDM wanafanya nini kuzitekeleza sera zao
 
Chadema ni watanzania masikini, waliokata tamaa ndani ya nchi yao, hawa ni wazalendo walio ktk mchakato wa kurudisha nchi yao mikononi mwao toka kwa mafisadi kwa maendeleo yao wote!
 
:yield:

Kwanza ungetusaidia kujua interest inayoku-drive katika maamuzi ya kujiunga na chama cha siasa...

Then from your interest tutakusaidia chama sahihi kujiunga nacho kwa kuangalia, sio itikadi tu, lakini katika namna ambavyo kinaendeshwa na wenye kukiongoza sasa
 
Shukrani kwa wote waliochangia.

Inapoitaja CUF, huwezi acha kumtaja Prof. I. Lipumba, Seif Sharif, n.k

Unapoitaja UDP, hakika huwezi acha kumtaja Mzee J. Cheyo, n.k

Unapoigusa CCM, lazima uanze na TANU + Afroshiraz, na waasisi wake kama Baba wa Taifa, Kawawa, Bibi Titi, Karume, Seti Benjamin, n.k

Kwanini, hamuokenani kukubali kutizama nyuma ya pazia la CDM.

"Tell me your friend, and will tell you................"
 
Unaitaji chama au unaitaji wasisi wa vyama,kukuweka sawa tu Mrema si mwasisi wa NCCR wa Lipumbumba si mwasisi wa CUF,
 
Back
Top Bottom