Ikulu yakanusha uvumi wa Pinda. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikulu yakanusha uvumi wa Pinda.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Taso, Apr 14, 2011.

 1. T

  Taso JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  MTANZANIA
  www. newhabari.com/2011/04/10/katiba-yatikisa-nchi/

  Ikulu yakanusha uvumi

  Hata hivyo, akizungumza na Mtanzania Jumapili, Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu, alikanusha taarifa za muswada huo kuwasilishwa bungeni chini ya hati ya dharura. “Hakuna kitu kama hicho. Kuna dharura gani katika kuwasilisha muswada huu? Tafuteni ukweli wenyewe, huo ni upotoshaji,” alisema Rweyemamu.

  ________________________________________________

  HABARI LEO
  habarileo.co.tz/kitaifa/?n=16180&cat=kitaifa

  Pinda akanusha hoja ya Mbowe

  Kwa mujibu wa Pinda, muswada huo uliwasilishwa bungeni kwa utaratibu wa hati ya dharura na kwamba, kinachoendelea ni utaratibu ndani ya Bunge.   
 2. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kati ya Salva na Pinda nani mwenye kufikiri....jibu ni Pinda
   
 3. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mbona ni contradiction tupu
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Pinda ajipindua au ajivua gamba? Msameheni bure
  Salva yeye ni certified LIMBUKENI.
   
 5. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  hamna contradiction hapo, hata bila kuambiwa kwa jins mambo yanavyopelekwa inaonekana ni kwa hati ya dharura....labda waifute kimya kimya ili waue soo
   
 6. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  "tafuteni ukweli wenyewe" ? duh huyu jamaa anahasira na waandishi wa habari kiasi hichi? kwani yeye si ndio muongeaji wa IKULU , ndio amepewa kazi yakujibu maswali na kutoa ukweli...sasa kwanini anakataa kutoa huo ukweli? huyu mtu wa ajabu sana!
   
 7. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Yatawashinda, kubadili kauli zenu
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,122
  Trophy Points: 280
  kawaida ya ccm ni kila mtu kuja na kuropoka tu bila kufikiri...........wakati wote ktk matamko serikali ya kikwete na ccm wamekuwa wakitofautiana sana ktk kujulisha watz mambo mbalimbali..........
   
 9. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,738
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  So who said what? Iwekeni vizuri na sisi wengine tujue kinachohusika.

  Pinda alisema nini? na Salva amesema nini?
   
 10. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Halafu baadae wanconclude na "NI MAWAZO YAKE BINAFSI"
   
 11. F

  Froida JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Msemaji wa IKULU Salva anakuwa mropokaji nani ataamini kinachotoka kwenye kurugenzi ya mawasiliano IKULU nchi inaendeshwa na kusimamishwa kama daladala
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Hawa wote wanahitajika milembe
   
 13. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,036
  Likes Received: 15,602
  Trophy Points: 280
  mh! hahahahahhaah jamani. yani wote umewaponda
   
 14. k

  kajuma New Member

  #14
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ushauri wa bure 'Waende Loliondo wapate kikombe cha Babu'
   
Loading...