Mchango wa gazeti la mwanahalisi katika anguko la lowassa,rostam na chenge. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchango wa gazeti la mwanahalisi katika anguko la lowassa,rostam na chenge.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibra Mo, Apr 14, 2011.

 1. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Binafsi nimekuwa mpenzi na msomaji mzuri sana wa hili Gazeti tangia lilipoanzishwa na ilikuwa ni lazima kila wiki ninunue Nakala yangu.Ilifikia hatua nikalichukia nakuacha kulinunua kabisa sababu tu yakuchoshwa na Habari za hawa Watu tena yakiwa ni marudio na Nakala zake nikiwa nazo ndani kilichokuwa kinabadilika ni heading ya Habari tu,kilichonifanya nilichukie ni yale marudio huku hakuna hatua zozote walizochukuliwa watuhumiwa.Leo napoandika hii thread nakiri kwa dhati kabisa kutambua mchango wa Hili Gazeti na nampongeza sana mwandishi nguli Kubenea kwa jinsi alivyoweza kudeal na hii mada yakupambana na ufisadi bila kuchoka especially hawa Jamaa na hatimae Matunda yake tumeyaona.Keep it up Mwanahalisi na Waandishi wengine igeni mfano huu wakusimamia Mada hadi kieleweke.
   
Loading...