Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nikiwa najiuliza maswali mengi kuhusu kauli ya mzee Makamba na ufugaji wa kuku, kuku wa Makamba anaowasema kwenye kauli yake ni kuku kweli au ameamua kuuzalilisha ufugaji kwa kuuchukulia kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wabunge wanaposhindwa kujieleza kingereza,Je ni tatizo? Nashauri kamati ya Bunge kushirikiana Britsh council kuandaa msasa kwa wabunge kuweza kujieleza vyema katika lugha husika.:confused3:
0 Reactions
4 Replies
2K Views
namuheshimu sana mwenyekiti wangu F.E.M. lakini Boys II Men yake na JKM ninahisi imekwamisha maandamano ya chama chetu. agenda kuhusu ccm ni nyingi sana; sioni sababu kwa nini maadamano yetu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ktk hali ya kushangaza,nimekutana na habari ya kushangaza ktk gazeti la Mtanzania ambalo lilikuwa linampigia kampeni mzee kikwete,EL,RA,yani lile gazeti la kutetea ufisadi limesema ktk ukurasa wa...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
KILOSA District Commissioner Halima Dendego inspects one of 50 power tillers bought recently by the district council that have been discovered to be sub-standard on Tuesday. (Photo by John Nditi)
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za asubui wana JF kulikuwa na taarifa za maandamano CDM leo. kwa mwenye taarifa ya kinachoendea atujuze jamani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Gazeti la Mtanzania la leo linalomilikiwa na mmoja wa vinara wa ufisadi ndani ya CCM na anayeshukiwa kuwa yumo kwenye orodha ya kutimuliwa ndani ya chama hicho......................gazeti hilo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewapasha wabunge kuwa anaongozwa na kanuni na si matakwa ya wabunge. Amesema hajafungwa kitambaa usoni kiasi cha kushindwa kufahamu anachokifanya anapoongoza vikao...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
IVI WANA JF WALE WABUNGE WA CCM WAKO SAWA KWELI KIAKILI WAKIONGOZWA NA HAWA WAFUATAO:- ANA KIMLANGO - BINGWA WA ZOMEA ZOMEA MUSTAPHA MKULO - LUGHA ZA KEJELI KWA WANANCHI SOPHIA SIMBA - BINGWA WA...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Wanabodi, Ile sintofahamu ya Muswada imemalizika, Wenye access watch TBC Live Now!. Spika ametangaza Kamati ya Sheria na Katiba imeomba marekebisho kadhaa ikiwemo kuletwa kwa lugha ya...
14 Reactions
111 Replies
9K Views
Kuna taarifa kwamba viongozi wakuu wa Chadema wametinga mkoani Tabora kwa mkutano wa hadhara. Katika mkutano huo, viongozi wakuu wa Chadema wakiongozwa na Dk. Willibrod Slaa, Mabere Marando...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Mh Samia Suluhu Hassan amuombe radhi haraka mwenyekiti wa (JUMAZA)Sheikh Farid Hadi kabla hatujamsomea kisomo malum. Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Shitambara ameiona NGUVU ya UMMA aachwa akisikilizwa na wana CCM wenye mashingingi ,ikiwa kwenye mkutano Uyole alikuwa akisikilizwa na wanachi nadhani wana CCM wachache pemeni kukiwa na...
3 Reactions
159 Replies
16K Views
Events (dear boy) are the joker in the game of politics . Former Premier Edward Lowassa's apologies for the Richmond (Richmonduli) fiasco yesterday were as handsome and dignified as they could be...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimejiuliza hili swali kwa wiki tatu zilizopita, tangu Muswada wa marejeo ya katiba uwekwe hadharani. Swali hili moja linalonijia ni: - Iwapo kitu kikubwa kama Muswada wa marejeo ya kutunga...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maandamano yalikuwa yamepangwa kufanyika kesho nchi nzima, ili kupinga muswada wa katiba wasitishwa na m/kiti wa cdm mh. f.mbowe. Hii ni baada ya spika kuutoa usijadiliwe bungeni. Source. TBC...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima yenu wana jamvi! Waswahili usema mwisho wa ubaya ni aibu, na malipo ni hapahapa duniani. Siyo siri HOT NEWS ndani ya wiki hii ilikuwa ni ccm na kujivua gamba. Baada ya vutanikuvute huko...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadau kuna habari kubwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Jambo Leo la leo kwamba maandamano ya kesho ya mikoa kumi yaliyoandaliwa na chama kikuu cha upinzani chadema yamefutwa na hayapo.Ninaomba...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Watanzania tunashuhudia mabadiliko chanya yanayotokea ndani ya CCM. Kwa watu wenye nia nzuri na nchi kwa vyovyote vile watakuwa wanayafurahia.Kwa mtazamo wangu mabadiliko haya yamesababishwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Na Edmund Mihale, Dodoma MZIMU wa Kampuni ya Meremeta uliibuka tena bungeni Dodoma jana, baada ya Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Bw. John Mnyika kumtaka Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda kuwataja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…