Hongera Raia Mwema, Mwana Halisi & JF: Mnamchango kwa madiliko chanya ya CCM

matunge

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
442
426
Watanzania tunashuhudia mabadiliko chanya yanayotokea ndani ya CCM. Kwa watu wenye nia nzuri na nchi kwa vyovyote vile watakuwa wanayafurahia.Kwa mtazamo wangu mabadiliko haya yamesababishwa na watu, taasisi na vyombo vya habari balimbali. Napenda kuchukua nafasi hii kutambua mchango wa Raia Mwema, Mwanahalisi na JF katika kukirudisha CCM katika njia iliyo sahihi.
 
Hongera Raia Mwema, Mwana Halisi & JF nazikubali sana hizi media.

Mleta sredi anakosea anaposema mabadiliko chanya ccm kwa kuwa sijaona uchanya wenyewe mifisadi bado ipo cc kama Mkapa na Meghi.
Mleta sredi anachukulia mambo superficially as gamba kuu ni JK ambalo haliondoki hata iwaje

Nakushauri mleta sredi usidanganyike na msemo wa kuvua gamba hiyo ni danganya toto
 
Mabadiliko ya kijamii MKUU huwa hayaji katika siku moja.
 
Kauli za uvccm uchwara utazijuwa tu, ccm na ufisadi dam dam, sisi tunataka kusikia kuhusu EPA, DEEP GREEN, MEREMETA, KIWIRA N.K, na sio maigizo ya hilo gamba, kwani nyoka hakijivuwa gamba huwa anabadilika na kuwa kambale? naomba kujulishwa hilo tu.
 
Pamoja na kuwa siamini uchanya wowote utakaokuwepo CCM mke yote ni kiini macho lakn pongezi kwa JF, RAIA MWEMA na MWANAHALISI. Angalu nyoka tatu RA,EL na EC wanasutwa sasa.
 
Lakini tukubaliane nae, hivi vyombo vinne, (pamoja na gazeti la mwananchi) vimesaidia sana kuyavuruga haya majambazi!!
 
Hongera Raia Mwema, Mwana Halisi & JF nazikubali sana hizi media.

Mleta sredi anakosea anaposema mabadiliko chanya ccm kwa kuwa sijaona uchanya wenyewe mifisadi bado ipo cc kama Mkapa na Meghi.
Mleta sredi anachukulia mambo superficially as gamba kuu ni JK ambalo haliondoki hata iwaje

Nakushauri mleta sredi usidanganyike na msemo wa kuvua gamba hiyo ni danganya toto
MKUU !! Kuwaondoa RA, EL,na EC ni mambadiliko hasi?
 
Back
Top Bottom