Chadema kuwasha moto Tabora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuwasha moto Tabora

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Apr 15, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  [FONT=&quot]Kuna taarifa kwamba viongozi wakuu wa Chadema wametinga mkoani Tabora kwa mkutano wa hadhara. Katika mkutano huo, viongozi wakuu wa Chadema wakiongozwa na Dk. Willibrod Slaa, Mabere Marando, Profesa Abdallah Safari na Willifred Lwakatare watawasha moto katika mkutano wa hadhara uliopangwa kufanyika kesho.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Taarifa zinasema katika mkutano huo, orodha mpya ya mafisadi – List of Shame. Mwenye taarifa zaidi atujuze.[/FONT]
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Taarifa ulete wewe, halafu kukujuza tukujuze sisi! am missing something on ur point. hawa ndio waandishi wetu wa miswada.
   
 3. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hzo taarifa umepata wap?
   
 4. m

  mohermes Senior Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Taarifa yako sio sahihi mh.Lwakatale nimemuona muda mfupi ulopita akiwa nje ya ofisi za CHADEMA mtaa wa ufipa KINONDONI DSM.
   
 5. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mtoa mada tujuze zaidi yanayoendelea TBR. inafurahisha hata hivyo kama maemaderi watakuwa tabora yangu-naililia sana sehemu hii ya nchi. inahitaji uamusho wa kujitambua na kuachana na ccm (wanyonyaji na mafisadi).
   
 6. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,065
  Likes Received: 7,533
  Trophy Points: 280
  Tatizo humu ndani kuna watu ambao wapo kwa ajiri ya kubisha bisha tu, Anachoongea mtoa mada ni kweli na mimi leo nimeingia Tabora na magari ya matangazo yanatangaza hivyo mitaani, nipo kwa ajiri ya kuangalia hali ya chama changu CCM na kuangalia nini kifanyike ili tuzidi kujiimarisha....ni safari binasfi si official msije mkani-miss understand.
  Kwa hiyo kuhusu mkutano ni ukweli utakuwepo
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,455
  Likes Received: 19,826
  Trophy Points: 280
  saigoni wewe ni kiboko
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,455
  Likes Received: 19,826
  Trophy Points: 280
  ccm anakujibu hapa chini
  una swali lingine? this is JF
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Yeah, hii LITAKUWA jambo zuri sana kwa Chadema kufika Tabora.

  Ingelikuwa vema wakatumia fursa hii kutembelea wilaya zote za Tabora na zaidi ni SIKONGE.

  Karibuni sana SIKONGE viongozi wa Chadema maana hata kwenye uchaguzi wa Rais/Bunge hamkufika Tabora.

  Ni wilaya inayohitaji sana SERIKALI ikemewe na Chadema na labda ndiyo wataamka kutoka usingizini.
   
 10. koo

  koo JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nipo tabora na hakuna kitu kama hcho japo tabora kunamahitaji makubwa ya uhamasiahaji lakini kuhusu mkutano kesho hicho kitu hakuna
   
 11. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  naona umeliona hili tatizo muhimu kwa sasa
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio mtu pekee niliekuwa nakutarajia ukiingia hapa utatupa na ukweli, otherwise ondoa hiyo signature yako weka signature nyingine, unajuwa nyinyi ndio mnategemewa kuiokowa Tabora iachwe kuongozwa na wasomali na wairani, wenzenu Morogoro walikuwa ni mateka wa wahindi lakini wamejitahidi kuwaondoa, na mpaka kufikia uchaguzi mkuu hujao Morogoro hapawezi kuwa na mbunge muhindi.
   
 13. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,065
  Likes Received: 7,533
  Trophy Points: 280
  Acha ubishi bwana mdogo......Kesho mkutano upo.
  Kuna namna mbili ya kupata habari/taarifa, either uitafute au ikupate
  Jaribu kutafiti ukishapata ukweli rudi tena hapa kwa ajili ya kufuta kauli.
   
 14. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Kuna Uyui, Urambo, Bukene, Nzega, mpaka Igalula...by the way tunawakaribisha kukaayiswe.
   
 15. MANI

  MANI Platinum Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Mkuu Saigon Wairani tena ndani ya TBR?
   
 16. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tunawaomba wafike na kwetu (nzenga)
   
 17. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Saigon,

  Mie ni mkweli haswaa na ubabaishaji nauchukia na kuuogopa kama ukoma.

  Siasa ni mchezo mchafu ambao uongo ni SEHEMU ya mchezo huo.

  Hayo mie siyawezi maana hakuna chama kitanipenda kwa hilo........

  Labda kuna siku NITAKUWA na kufikia UMRI wa kuwa Mwanasiasa ila siyo leo.

  Wanasema Wanasiasa ni kama Malaya. Unachagua yule hawajakanyaga saana. (Akina dada msiniuwe, sikutaka kutukana Jinsia).
   
 18. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Wasisahau kufika Urambo pia, kunahitaji ukombozi. Mafisadi wamepandikiza mapandikizi huko.
   
 19. Silas Haki

  Silas Haki JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bwana Sikonge, waambie hao CHADEMA wasisahau Nzega, mimi nipo nje ya nchi kwa sasa lakini nilipokuwa nzega Mwezi January watu wengi sana vijijini walitaka kufunguliwe matawi ya Chadema na wapelekewe kadi, wamechoka na CCM ya mafisadi.
   
 20. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Jamani SIKONGE bado wako gizani endapo hyo safari ikitarajari msikose kabisa kuja huku
   
Loading...