Maandamano yalikuwa yamepangwa kufinyika kesho nchi nzima, ila kupinga mswada wa katika wasitishwa na m/kiti wa cdm f.mbowe. Hii ni baada ya spika kuutoa usijadiliwe bungeni.
Source. TBC taifa.
Tutaendelea kuisaidia ccm na kuionyesha jinsi nchi inavyotakiwa kuendeshwa........na lazima wafuate mawazo yetu kwani wao akili zao zimeganda wamebaki kung'ang'aniana madaraka na kuliibia taifa huku wakiacha kufikili kwa ajili ya watz..................tutaandamana tu
mimi nilidhani Mbowe ndiyo kaahirisha, kumbe Makinda kaharisha.
mimi nilidhani Mbowe ndiyo kaahirisha, kumbe Makinda kaharisha.
Maandamano yalikuwa yamepangwa kufanyika kesho nchi nzima, ili kupinga muswada wa katiba wasitishwa na m/kiti wa cdm mh. f.mbowe. Hii ni baada ya spika kuutoa usijadiliwe bungeni.
Source. TBC taifa.
Hapa ndio naanza kuelewa kwa nini darasani mnakuwa 30 lakini wanaofauru wanakuwa 5. kwahiyo mkuu siku hizi Makinda ndio mwenyekiti wa CHADEMA! UNAJISHUSHIA HESHIMA BURE HAPA JAMVINI KWA AJILI YA UJINGA UJINGA KAMA HUU.
Saigon!....unanivunja mbavu sana mkuu wangu!....yaani mambo yako yanafanana na rafiki yangu kipenzi Rev.masanilo (yuko banned)....Hakika nam-mis sana huyu jamaa yangu!. Lakini siyo mbaya tumepata mtu anayefanana kinadhalia kivitendo!....big up SaigonHapa ndio naanza kuelewa kwa nini darasani mnakuwa 30 lakini wanaofauru wanakuwa 5. kwahiyo mkuu siku hizi Makinda ndio mwenyekiti wa CHADEMA! UNAJISHUSHIA HESHIMA BURE HAPA JAMVINI KWA AJILI YA UJINGA UJINGA KAMA HUU.