Gazeti la Mtanzania wasema Zitto ni mbunge wa CCM!

Gsana

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
4,383
1,321
Ktk hali ya kushangaza,nimekutana na habari ya kushangaza ktk gazeti la Mtanzania ambalo lilikuwa linampigia kampeni mzee kikwete,EL,RA,yani lile gazeti la kutetea ufisadi limesema ktk ukurasa wa kwanza na wa pili kuwa mbunge Zitto ni CCM.

Mwenye kopi atazame pale kulia kulikoripotiwa kuwa Zitto (CCM) ameibua ufisadi mpya. Limeripoti ivo wakati Zitto akiandamwa na wananchi kuwa hawamwelewi.

Je, ni harakati za kumgonganisha Mh. ZITTO na wananchi? Au ndo kujivua gamba uko kuamua kuanika dhamira yao? Ktk hili kama ni kweli bora wasivue gamba, wafunike pale palipoandikwa Zitto Kabwe (CCM), waondoe CCM na wamwombe Samahani Mbunge Zitto ndani ya masaa 24 kabla hasira zangu kupandwa %.

Haraka sana, ZITTO ni wa CHADEMA full stop!
 
Zito ni wa CHADEMA kwa ajili ya CHADEMA, ukimuona sehemu nyingine ujue anatafuta mambo yakusaidia kuokoa jahazi, nimjanja sana, wengine humdhania hivyo wakimuona katka harakati kama hizo, ukimuona yuko na watu wa ccm wala usihofu ila subiri uone baada ya hapo kombola atakalo toa, i trust a man. Umesikia walivyo muonea huruma mwl. CHADEMA Mbeya akasema amekimbilia ccm chama ambacho kaelekea kufa.
 
Hivi nyinyi watoa mada mnakuwa mnakimbilia wapi mnapoandika? Zitto 'ameama' what is this? yaani hata kiswahili taabu. My point is: Tukiandika tuwe makini. Inaonyesha hata uwezo wako wa kufikiria. Jitahidi kusoma hata mara mbili au mara tatu uangalie grama..iwe kiingereza au kiswahili. Ni ushauri tuu wa Masanja.
 
Mungu ananamna yake yakufunua mambo ..mh mh ...tusubiri inawezekana ikiwa mbinu ya kuivuruga CDM
 
Hivi nyinyi watoa mada mnakuwa mnakimbilia wapi mnapoandika? Zitto 'ameama' what is this? yaani hata kiswahili taabu. My point is: Tukiandika tuwe makini. Inaonyesha hata uwezo wako wa kufikiria. Jitahidi kusoma hata mara mbili au mara tatu uangalie grama..iwe kiingereza au kiswahili. Ni ushauri tuu wa Masanja.

Unatoa banzi jicho la mwenzako wakati lako lina gogo

Hata hivyo hili siyo darasa la Kiswahili, kuna Jukwaa la lugha kule, hapa beba ujumbe na fanyia kazi maadam umeelewa hata kama lugha imepinda kidogo..........BACK TO TOPIC

Zito ni wa CHADEMA kwa ajili ya CHADEMA, ukimuona sehemu nyingine ujue anatafuta mambo yakusaidia kuokoa jahazi, nimjanja sana, wengine humdhania hivyo wakimuona katka harakati kama hizo, ukimuona yuko na watu wa ccm wala usihofu ila subiri uone baada ya hapo kombola atakalo toa, i trust a man. Umesikia walivyo muonea huruma mwl. CHADEMA Mbeya akasema amekimbilia ccm chama ambacho kaelekea kufa.

si ndo kawalipua kwa bilioni48 za ujangili wa watawala,sasa wanamripoti kama mwanaCCM ili kuwanyima msimamo wafuasi wa zitto,sisi tuko makini sana hawatudanganyi hawa na wasidai wamekosea wakati Wana Mhariri anayekula kodi kubwa ya wananchi. Wakae chonjo kwa kashfa iyo kila kosa litatozwa!
 
Ushauri kwa Mh Zitto:

Kwa vile siasa mara nyingi haina formula, na pia ni mchezo wa chess ambapo hisia hutawala hata facts. Naona kama kweli ni perception ya watu imemfanya aonekane popo au kama ni matendo yake yalisababisha na kupelekea kuwepo kwa tafsiri hasi dhidi yake basi ni wakati sasa asimame na kufanya & kuongea; si tu kudhirisha kwamba ni Chadema bali pia ionekane (kwa ushawishi) kuwa hivyo.

Hakuna mahakama wala gamba linaloweza kumrudishia heshima na mvuto, ni yeye mwenyewe Zitto kurudi na kufanya basics.
 
Hivi nyinyi watoa mada mnakuwa mnakimbilia wapi mnapoandika? Zitto 'ameama' what is this? yaani hata kiswahili taabu. My point is: Tukiandika tuwe makini. Inaonyesha hata uwezo wako wa kufikiria. Jitahidi kusoma hata mara mbili au mara tatu uangalie grama..iwe kiingereza au kiswahili. Ni ushauri tuu wa Masanja.

yapo madhara mengi ya kukimbia shule,sasa hapa naanza kuelewa na mapya kama yako! Ivi sentensi uliyosoma ya 'ameama'...je haina alama zozote za kuashiria mtazamo wa mtoa mada mfano !, au ? Au full stop? Unajua itabidi tuwe tunaweka na note: ya kusema ni kiswahili cha nchi gani kenya,kongo, somalia au rwanda au wapi. Ebu some tena uelewe.
 
Ushauri kwa Mh Zitto:

Kwa vile siasa mara nyingi haina formula, na pia ni mchezo wa chess ambapo hisia hutawala hata facts. Naona kama kweli ni perception ya watu imemfanya aonekane popo au kama ni matendo yake yalisababisha na kupelekea kuwepo kwa tafsiri hasi dhidi yake basi ni wakati sasa asimame na kufanya & kuongea; si tu kudhirisha kwamba ni Chadema bali pia ionekane (kwa ushawishi) kuwa hivyo.

Hakuna mahakama wala gamba linaloweza kumrudishia heshima na mvuto, ni yeye mwenyewe Zitto kurudi na kufanya basics.

Naunga mkono ushauri 100% pia mimi na Mheshimu sana Zitto lakini mara nyingi napata wasiwasi kuwa yeye ni ndede au mnyama
 
wana vigezo gani kusema zitto ni chadema...........gazeti la mtanzania boss wao anakataliwa ccm sasa wana tapa tapa...........hawana pa kushika..............
 
Jamani kama kuna mtu kaona nakala ya gazeti la Mtanzania la leo, Habari kuu ni kashfa ya bilioni 48 zilizoibuliwa na Zitto Kabwe.

Chakushangaza mwandishi wa habari hiyo anaaandika: Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe (CCM) ....

Swali ni je,
1. Tokea mwanzo walikua wanamchukulia Zitto kama mbunge wa CCM pengine kwa sababu labda walikua wanamtumia kichinichini? au
2. Ni kwasababu gazeti hili limezoea kuandika habari za kuifagilia CCM sasa leo (baada ya uvuaji wa magamba) wameamua kuziandika habari za upinzani wanasahau wanadhani ni ya ccm (mazoea) au
3. Uhuni wao tuu?
 
Hiyo ni signal kwa wanaotaka kuwatimua kuwa watatoa siri nje kama wakiendelea na mpango wao. Fuatilia hjilo gazeti baada ya nyoka kutoa gamba utagundua kuwa wamekuwa wanabeep kiaina.
 
yapo madhara mengi ya kukimbia shule,sasa hapa naanza kuelewa na mapya kama yako! Ivi sentensi uliyosoma ya 'ameama'...je haina alama zozote za kuashiria mtazamo wa mtoa mada mfano !, au ? Au full stop? Unajua itabidi tuwe tunaweka na note: ya kusema ni kiswahili cha nchi gani kenya,kongo, somalia au rwanda au wapi. Ebu some tena uelewe.

Mkuu, tatizo analolijadili la sarufi ndilo hilo la wewe kusema IVI badala ya HIVI. Mwandishi wa ujumbe wa awali alikuwa ameandika 'AMEAMA', badala ya AMEHAMA.
 
siku si nyingi utasikia na dawa ya babu loliondo ilikuwa kwenye ilani yao CCM.
 
yapo madhara mengi ya kukimbia shule,sasa hapa naanza kuelewa na mapya kama yako! Ivi sentensi uliyosoma ya 'ameama'...je haina alama zozote za kuashiria mtazamo wa mtoa mada mfano !, au ? Au full stop? Unajua itabidi tuwe tunaweka na note: ya kusema ni kiswahili cha nchi gani kenya,kongo, somalia au rwanda au wapi. Ebu some tena uelewe.
sio "Ivi" nadhani ni "Hivi" jamani kiswahili hamna anayekimiliki kama Kampuni ya Dowans. Tehe! Tehe! Teheeee!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom