Swali

kakini

Senior Member
Mar 31, 2011
197
33
IVI WANA JF WALE WABUNGE WA CCM WAKO SAWA KWELI KIAKILI WAKIONGOZWA NA HAWA WAFUATAO:-
ANA KIMLANGO - BINGWA WA ZOMEA ZOMEA
MUSTAPHA MKULO - LUGHA ZA KEJELI KWA WANANCHI
SOPHIA SIMBA - BINGWA WA MIPASHO
JANUARY MAROPES - ZEE LA MIPASHO

maaana kila wanapoongea wanati hasira na hawana hoja zaidi ya kujifanya nchii hii ya kwao
 
Wako sawa cz wanalinda maslahi ya chama cha majambazi. Wasipozomea watakuwa hawajajivua Magamba. In short ni watu wazma hovyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom