Uswahiba wa FEM na JMK Umekwamisha Maandamano Yetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uswahiba wa FEM na JMK Umekwamisha Maandamano Yetu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Prophet, Apr 16, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  namuheshimu sana mwenyekiti wangu F.E.M.

  lakini Boys II Men yake na JKM ninahisi imekwamisha maandamano ya chama chetu.


  agenda kuhusu ccm ni nyingi sana; sioni sababu kwa nini maadamano yetu yameahirishwa.
   
 2. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mhh utaleta upotoshaji mkuu. Maandamano hayaandaliwi ili mradi bali kuna agenda. Hapa si kuwa kila tatizo hutajwa,hapana. Kwa ilo nadhan muswada umeondolewa na umuhimu wa kuandamana unakuwa umeisha!
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Chadema hatuandamani tu kama wenda wazimu,kila jambo lina mkondo wake...la leo liko solved, mengne tusubili May 4
   
 4. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Uswahiba wa FEM na JKM umeanza lini? Hayo maandamano yote yaliyofanyika huko kanda ya ziwa uswahiba huo ulikuwa uko wapi hata usizingatiwe? Utakuwa na shida ya kuunganisha nukta. Kapate kikombe kwa babu
   
Loading...