Makamba Kwenda Kufuga KUKU ni SAHIHI au Dhalau kwa wafugaji?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Nikiwa najiuliza maswali mengi kuhusu kauli ya mzee Makamba na ufugaji wa kuku, kuku wa Makamba anaowasema kwenye kauli yake ni kuku kweli au ameamua kuuzalilisha ufugaji kwa kuuchukulia kuwa kilimo na fugaji ni kwa watu maskini sana na wakipato cha chini. Sisi watu wa Musoma kuku wametundeleza sana maisha yetu na kwa kiwango kikubwa nyama inayoongoza kuliwa ni kuku lakini kwa Mjini vijijini ni mpaka sikukuu. Kwa hela za mafisadi alizozikusanya mpaka sasa hivi ni nyingi muno kiasi kwamba anaweza kufungua kiwanda kikubwa nchini, na kuajiri watu wengi, sasa akienda kufuga kuku hizi hela za mafisadi zitatumikaje kwa maslahi ya taifa? kwa kuwa alishaunganishwa kwenye mafisadi ni heli kufungiwa akaunti zake zote ili hela hizo zitumike kwenye miradi mingine kwa kuwa ataziharibu maana anaenda kudumaza akili kwa ufugaji wa kuku tu. Nafikiri hata RA EL AC Karamagi watamshangaa maana wao wamewekeza kwenye MADINI, TICKIS, VODACOM, Makamba aache kutudanganya kama kuku alivyodanganya wanae Baada ya kuwazaa alipoulizwa Mama tutanyonya Lini Yeye kawajibu mtanyonya kesho mpaka wanakua hakuna cha kunyonya wala nini
 
lile nundu pale usoni limeficha mengi, ngoja arudi kwao magoma korogwe akalifumue then utasikia kazi atakayofanya, labda km ya profesa maji mapana, aaagh!! maji marefu, ay km ya shehe yahya.
 
Back
Top Bottom