Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Froida, Apr 13, 2011.

 1. F

  Froida JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Shitambara ameiona NGUVU ya UMMA aachwa akisikilizwa na wana CCM wenye mashingingi ,ikiwa kwenye mkutano Uyole alikuwa akisikilizwa na wanachi nadhani wana CCM wachache pemeni kukiwa na wanachadema na bendera zao wakizipeperusha huku wakisikiliza alivyosema tuu jumamosi musihudhurie kwenye maandamano yaliyoitishwa na Chadema akashangaa hicho kikundi kidogo kilichokuwa kikimsikiliza wakiondoka mmoja baada ya mmoja saa hizi kabaki na wale wenye mashangingi na FFU na vinq'ola vinaingia jamani wanachi sio wakuchezea kwa kweli
   
 2. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huhitaji tochi kuona kwamba amefika mwisho wa reli kisiasa
   
 3. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Mbona haueleweki?
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Huyo habari yake ndo imeishia hapo. Asitegemee kung'ara tena kisiasa. Aende zake na unafiki wake, hana hata haya.
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tena nadhani jumamosi chadema wasimzungumzie kabisa ajine ****
   
 6. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  atakuwa kama tambwe na makamba kwisha habari, angalau tu fisadi kama el na ra wanavuma na vijisenti vyao
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hujaelewa nini?
   
 8. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama kwako ni usiku na kwa wenzako ni mchana itakuwa vigumu kuelewa. Ila kwa kifupi Shitambala baada ya kurudi CCM alikwenda huko kwao lakini akakosa watu wa kumpokea
   
 9. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Watanabe, kwanza karibu jamvini, then rudia kusoma thread vizuri, yaelekea wewe ndiye hujaelewa
   
 10. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Imeonekana misululu ya magari na matipa ya CCM yakizomewa kwa nguvu zote wakati yakitoka "mkutanoni" . Watembea kwa miguu wenye sale wanazomewa. Jumamosi iko kazi. Wananchi wanasikitika huyu jamaa kawasaliti mchana kweupe!!

  Siasa kitu cha ajabu aliowatukana akiwa CDM ndo hao anakokotana nao kwenye msululu.
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Yaniii UYOLE ni kwakinaShitambala kabisa, kazaliwa na kukulia hapo kama nabii hajakubalika kwao kweli ccm kwisha habari yake! POLE SANA AFANDE SHITAMBALA!
   
 12. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,840
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Ni muhimu CDM kujua kuondoka kwa hiari kwa pandikizi ni neema kwani Angefukuzwa ingekuwa sababu ya Kuanza Kuleta Majungu, Ni Muda sasa umefika kurecruit the right persons, Najua alikuwa anataka kuonyesha kwa Mabwana Zake kuwa yeye ndio alikuwa na Mvuto na Si kwa sababu ya kuwa CDM, Maskini Chitambaraa, duh Kwishnei!! Maskini Pesa za kifisadi walizompa si Zitakwisha Karibuni!!
   
 13. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Hilo ndilo tatizo la baadhi ya vijana, hawana uvumilivu ndani ya vyama, wakipata umaarufu kidogo tu wanakuwa BIG headed na kushawishika kirahisi, huyo dogo bado mchanga ktk siasa za TZ, we subiri tu CCM hawachelewi kuwatelekeza wasaliti kama hawa.
   
 14. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hii ni hasara nyingine kuubwa waliyoipata CCM maana kuna tetesi kwamba amenunuliwa kwa pesa nyingi sana.
   
 15. p

  plawala JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeye aliamua kuondoka chadema kwa sababu anazozijua ,kila la heri kwenye mji mpya ila ukweli ni kwamba umamluki haulipi tena,Amwulize tambwe hiza
  Salamu utaipata jumamosi
   
 16. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa kazaliwa hapo Uyole kwa kuongezea amesoma shule ya msingi Uyole (Uyole kati) na alijulikana kwa jina la Charles. Kweli kijana ndiyo amefika mwisho wa safari yake kisiasa! Alijidanganya kuwa mwamko uliyopo uyole ni kwa ajili yake kumbe watu hawadanganyiki tena. mlungula apokee yeye halafu awaambie wanauyole wasiende kwenye maandamano kudai haki zao?!
   
 17. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  kwangu hii ni quote ya siku..huo ujumbe umetulia
   
 18. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Let the public judge him silently, with deeds!
   
 19. MANI

  MANI Platinum Member

  #19
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Kama Tores na Chelsea?
   
 20. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  Imekula kwake.
   
Loading...