Muswada hadharani -vs- Mikataba ya siri

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Nimejiuliza hili swali kwa wiki tatu zilizopita, tangu Muswada wa marejeo ya katiba uwekwe hadharani. Swali hili moja linalonijia ni:

- Iwapo kitu kikubwa kama Muswada wa marejeo ya kutunga katiba mpya unaandaliwa katika mapungufu yale na watu bila aibu wanajisifu kutayarisha Muswada ule; je, mikataba mingi ambayo imebakia kuwa siri kwa wananchi iliyosainiwa na hawa tunao wathamini kuwa viongozi wetu itakuwa katika hali gani ya mapungufu dhidi ya maslahi ya Taifa letu?!

Steve Dii
 
Sasa serikali makini ilibidi iwafute kazi wote waliotuandalia muswada ule,lkn kwakuwa serikali ni ya vilaza wanapima maji kwa ugoko watachukulia poa tu.................................Sasa ni mwendo wa nguvu ya umma tu mpaka kieleweke,CHAMA CHA MAGAMBA wakimwaga ugali CDM tunamwaga mboga hadi wenyewe wasande.............:rip:CCM.
 
Kwa hoja hii ambayo ipo wazi kabisa. Mimi nashauri mikataba iwekwe wazi ili tuitolee mapendekezo. Hatuna watu bali kundi la vilaza tu. Hii imesababishwa na kutoa kazi kwa sababu ya undugu, ukabila na rushwa. Inasikitisha sana, wataalamu hawana kazi na vilaza ndo wanaofanya kazi. Mungu saidia Tanganyika.
 
Back
Top Bottom