Nani alinunua haya?

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
KILOSA District Commissioner Halima Dendego inspects one of 50 power tillers bought recently by the district council that have been discovered to be sub-standard on Tuesday. (Photo by John Nditi)

04_11_jrq2fh.jpg
 
Pale Mwenge ziko kibao kwenye yadi ya JKT. Labda hii ikifuatiliwa inaweza kuwa mdogo wake na Kagoda
 
Hilo ni dili la mkurugenzi na mhasibu wake,maana hakuna malipo yatokayo halimashauri bila mkurugenzi kupiga sahihi,
Ufisadi mwingine huo,ni sio hilo tu kuna mengi kilosa,hata ule mladi wa umwagiliaji wa mwaya ambao haufanyi kazi mpaka leo hii ni uwizi mtupi na sijasikia watu kuchukuliwa hatuwa juu ya hilo
Hiyo ndio TZ bana
 
SITETEI ufisadi lakini nakasirika pale wafanyakazi wa chini(wadogo)wenye mishahara midogo especially halmashauri wanapofanywa scapegoats,.serikali inaacha ufsadi mkubwa unaofanywa na makatibu wakuu,mawaziri,makatibu tawala,wakurugenzi inawatafuta hawa ili ionekane inapambana na ufisadi,,..kagoda,meremeta etc wanaogopa kuzizungumzia,..hivi niambieni kazi nyingine ya mkuu wa wilaya zaidi ya kusimamia ulinzi na usalam kwnye wilaya yake,..mfumo una matatizo kidogo hapo
 
Hii ni balaa, hebu niwafuatilie wahandisi wanishauri, kama tunaweza kuwashitaki wahusika.:hug:
 
Pale Mwenge ziko kibao kwenye yadi ya JKT. Labda hii ikifuatiliwa inaweza kuwa mdogo wake na Kagoda

Kuna uwezekano then, this is just a tip of the iceberg? Kuwa zimesambazwa pia halmashauri nyingine?
 
...Hii ni project ya mtoto wa mkulima asiye mkulima Mizengo kayanza Peter Pinda....yeye ndiye anapaswa kuulizwa kwa haya madudu....gamba linaendelea kuota badala ya kujivua......................
 
Watazunguuuuushaaaa, lakini hakuna atakayewajibishwa. The CCM government is really rotten! Halafu ajabu ukiwaambia eti wanakuambia mchochezi, unataka kuvunja amani na nonsense nyingine!
 
Haya mambo ukihoji ndio unaambiwa unakipaka chama matope
 
Kwani wenye mradi huu si walitajwa na doctor wa ukweli last year kwenye kampeni kuna mahali popote wamekanusha?
 
Back
Top Bottom