Kuongea lugha kwa ufasaa

gmantz

New Member
Apr 11, 2011
4
0
Wabunge wanaposhindwa kujieleza kingereza,Je ni tatizo?
Nashauri kamati ya Bunge kushirikiana Britsh council kuandaa msasa kwa wabunge kuweza kujieleza vyema katika lugha husika.:confused3:
 
Kama walishindwa huko huko Secondary School na Vyuoni unategemea British watawasaidiaje?

Kimsingi hili ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wasomi walio wengi. wengi tunajua kiingereza cha yale mambo tuliosoma tu lakini sio kiingereza kama communication language. Sasa tunapofikia mahala kiingereza ndio communication language kwa kweli ni mtihani, hii ni kuanzia kwa Rais hadi kwa wananchi wa kawaida.

ukweli unabakia kuwa Lugha kuijua na kuiongea inategemea na mapenzi ya mtu ya nia ya kujua na kuongea.

Mimi nimemudu kuongea kiingereza kizuri tu nikiwa shule ya msingi tena ya Serikali pale manispaa ya Arusha Themi shule ya Msingi. Nilipoingia O level Secondary pale ilikuwa ni fine tuning tu. baada ya hapo English kwa kwenda mbele.
 
Ni lugha kwa u-FASAHA sio u-FASAA. Samahani, weka title yako iwe na uzito kulingana na mada.
 
Anyoaye, hunyolewa = Kabla hujawataka wengine wazungumze kwa ufasaha, jifunze kwanza kuandika kwa ufasaha !
 
Siku wabunge wanapigwa msasa na wewe uwepo ili uweze kuandika kwa ufasaha na si "ufasaa"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom