Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wenyeviti 19 CCM, wanataaluma wapangwa Lowassa aomba na kukutana na Kikwete Pasaka Kardinali Pengo naye anena Mwandishi Wetu HATUA ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kutaka kujitenga na viongozi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Damas Kanyabwoya 28 April 2011 It is clear that Tanzania currently passes through very difficult economic times due to a range of factors including high energy and food prices, expensive and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo gazeti la mwanahalisi limechapisha makala yenye kichwa cha " mkapa kutinga kortini" Makala hii ya kubenea imeeleza jinsi mkapa na jakaya walivyoshiliki katika ununuzi wa nyumba ya ubarozi...
0 Reactions
82 Replies
9K Views
Hakika hakuna utakalonieleza kuhusu Dr Slaa na urais ambao alipewa na Watanzania tarehe 31st Oct 2010.Kumbuka hakika nilizunguka Tanzania yetu hii kipindi chote cha Kampeni nikaona maajabu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
http://youtu.be/Xep2W2hjHnw Tani 50 za chakula cha msaada kutoka serikalini zimechukuliwa na viongozi badala ya kuwagawia watu wasio na uwezo kama ilivyopangwa na serikali, hii ni kesi ya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati najadiliana na FJM kwenye thread nyingine nimejikuta nikijiuliza je Mbunge anawajibika vipi kwa wapiga kura wake? Ni uwajibikaji wa aina gani pale ambapo Mbunge anawajibishwa kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii habari inathibitisha kuwa ni kweli baadhi ya viongozi wa CHADEMA, CUF, Tanzania Daima na magazeti mengine wako mfukoni mwa mafisadi... Tanzania kweli safari bado ndefu kufikia uhuru...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah, amejitosa ulingoni kujibu mapigo ya wakosoaji wa utendaji wa Spika wa Bunge, Anne Makinda, wanaodai kwamba kazi hiyo imemuelemea. Kujitokeza kwa Dk...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mei mosi ni siku ambayo wafanyakazi wote nchini wanaungana na wenzao wengine duniani kuazimisha siku yao ya Kimataifa na mimi nikiwa mmoja wa wanaothamini mchngo wao katika jamii napenda kuchukua...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kinachowashangaza watanzania na wenye kuitakia mema nchi hii ( sio CDM ) ni pale ambapo CDM kususia sherehe zote za kitaifa japokuwa hupewa mualiko rasmi. Hivi hizi sherehe zote za kitaifa hazina...
0 Reactions
95 Replies
7K Views
LEO Watanzania tunaadhimisha miaka 47 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Mwaka 1964 waasisi wa Muungano huo, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Abeid Amani Karume, walikaa pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati wa Kenya wanamuondosha kwa furaha Rais mstaafu Daniel arap Moi na kudhani ndio kikwazo cha maisha yao. vumbi la machafuko liliikumba baada mpinzani wake ambae ni rais wa sasa Kuvuruga amani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
CHAMA cha UPDP kimefanya mabadiliko ya uongozi kwa kumwondoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Abdallah Ally. Mwenyekiti wa chama hicho, Fahmi Dovutwa, alisema mabadiliko hayo yalifanyika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waafrika habarini za saizi tena kwa mara nyingine tena twamshukuru mungu mwenyezi mjaza neema ndogondogo na kubwa nene na nyembamba fupi na ndefu kwa uhai wake kukupa nafasi tena kuwepo jamvini...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ameyasema haya akihojiwa kipndi cha dk 45 ITV
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katibu wa bunge bwana Kashillillah aliita waandishi wa habari kuelezea minyukano iliyojitokeza katika mkutano wa 3 wa bunge hili la 10, aliuleza umma kwamba kilichosababisha ni ugeni wa wabunge na...
3 Reactions
91 Replies
8K Views
NI saa 12 asubuhi, mlango wa chumba changu unagongwa: “Kaka Zitto, kaka Zitto,” ndivyo mama yangu Bi Shida huita wanawe wote wa kiume. Naamka, mama ananiambia: “Shelembi ametutoka.” Ni kama...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Maneno haya yametamkwa na ndugu Shitambala......... ...Anaongeza: “Hicho chama nilikuwa naendesha kama kampuni binafsi. Kwani nilikuwa natoa fedha yangu mfukoni, na hawawezi kunikwamisha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hakika Chama kimepoteza watu muhimu ambao waliweza kuleta changamoto ndani na nje ya Chama.Binafsi nikiwa si MwanaCDM lakini nilivutiwa sana na viongozi hawa.Hawa ilikuwa ni tunu ya Taifa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"......kama baadhi ya watu wanavyohoji chimbuko la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kati ya Julius Nyerere na Abeid Karume ndivyo leo watu wanavyotaka kujua ni makubaliano gani yaliyofikiwa kati...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…