CCM Yajivua Magamba, CDM Yazindua Operasheni ya Twanga Kotekote; Sasa Kila Mmoja Atafsiri kivyake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Yajivua Magamba, CDM Yazindua Operasheni ya Twanga Kotekote; Sasa Kila Mmoja Atafsiri kivyake.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LINCOLINMTZA, May 3, 2011.

 1. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Siku chache zilizopita nilijaribu kubadilishana mawazo na wanajamvi katika tafsiri ya CCM kujivua gamba kwamba ilikuwa inapotoshwa kwa kufananishwa na nyoka badala ya lengo lake. Sasa CDM wamezindua operasheni inayoikwenda kwa jina la "Twanga Kotekote" https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/131685-chadema-yazindua-operesheni-twanga-kotekote.html . Tusipopata au tusipoamua kuangalia tafsiri ya lengo la operasheni hii na kujikita katika maandishi, si ajabu watu wengine wakapotosha lengo la operaheni hii either kwa makusudi au kwa kutokujua. Naomba mwenye maelezo zaidi kuhusu lengo la Operasheni yenyewe atujuze na ninaomba wanajamvi kuangalie zaidi lengo la ujumbe siyo kutafsiri maandishi kama yalivyo.

  Naomba kutoa hoja.
   
Loading...