Hivi kujivua gamba kunamaanisha nini katika siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kujivua gamba kunamaanisha nini katika siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by semmy samson, May 3, 2011.

 1. semmy samson

  semmy samson Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wadau tusaidiane kwa hili kujivua gamba ni term ambayo tunaitumia kisayansi hasa kwa reptilia katika swala la ukuaji sasa hawa wanaolitumia kisiasa wanamaanisha wanatoka stage moja ya ufisad kwenda nyingine au? HELP ME PLZ
   
Loading...