Ningekuwa Lowassa!

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Mahali alipofikishwa Lowassa ni sawa na mahali walipo arsenal. hawana nafasi ya ubingwa wakicheza hawana na kupoteza. Lowassa hana cha kupoteza. wameshamzika kisiasa na hana nafasi tena ccm. ingekuwa mimi ningezungumza na waandishi nitoe siri zote na mabaya yote ya serikali. ccm nzima imeoza na kuchukua watu watatu kama ndio mafisadi si haki. kuna uwezekano wa lowassa kusimama tena kama akifuata ushauri wangu
 
Kama anajipenda atabaki kama alivyo kulinda heshima yake akithubutu tu kumwaga ugali tutamwaga mboga sasa sijui atakula wapi bora abakie na kuenjoy kuendelea kula ugali na mboga asife njaa!!:amen:
 
Thread yako inaonesha kipimo cha akili yako! Hivi mkiiba na mwenzako utaita wandishi useme kuwa tuliiba wote,sheria itakuacha?
 
aahahahahahahaaaa, ndo maana kuna mwana jf anaitwa gonja....hiii kwetu ni ndizi ile ya kuchoma. Ni vichekesho.Hakuna siri itakayombakiza. Jamaa (J.K) kaamua kumchinjia baharini
 
hata kama angefanikiwa kujisafisha, el. hafai kabisa kuwa rais wa nchi na wala hatakaa apate tena nafasi hiyo, nafikiri hata yeye na wapembe wake watakubaliana na mimi.
 
Thread yako inaonesha kipimo cha akili yako! Hivi mkiiba na mwenzako utaita wandishi useme kuwa tuliiba wote,sheria itakuacha?

kwani wameiba nini? ukweli ni kwamba lowassa anaweza kuwa mla rushwa ila kwa hili la dowans anaonewa. nilishawahi kuzungumza nae anasema mipango yote ya kuja dowans na mikataba jk alishirikishwa. ndio maana kwenye hotuba fulani jk alisema 'nilimuuliza msabaha...' . kumhukumu lowassa kwa hili hadi kumwondoa ccm bila ushahidi narudia si haki.
http://www.google.com
 
ningekuwa mke wake ningemshauri tutafute uraia wa nchi nyingine tukale mikuku mbele:smile-big:
 
Mahali alipofikishwa Lowassa ni sawa na mahali walipo arsenal. hawana nafasi ya ubingwa wakicheza hawana na kupoteza. Lowassa hana cha kupoteza. wameshamzika kisiasa na hana nafasi tena ccm. ingekuwa mimi ningezungumza na waandishi nitoe siri zote na mabaya yote ya serikali. ccm nzima imeoza na kuchukua watu watatu kama ndio mafisadi si haki. kuna uwezekano wa lowassa kusimama tena kama akifuata ushauri wangu
Mambo ya CCM yanawahusu nini shughulikieni matatizo yenu yaliyomo CDM
 
kaa kima el usithubutu kufungua lako domo...utaumbuka mpaka utajuta kuwahi kuwa mtz. ur game is over. kaa kimya endelea na shughuli binafsi. siasa achana nazo manake u can never go beyond PM position uliyowahi kuifikia. usiponisikiliza, utaungana na babu seya
 
Mimi nafikiri kukaa kwake kimya na kusubiri kile ambacho wenye chama chenu mnataka kufanya ndio njia ya busara zaidi, nami namshauri akae kimya hivyo hivyo. Chochote mtakacho amua kufanya kumhusu mjue atapata watu wengi watakao muonea huruma, hasa tukijua kuna wengi wabaya kama yeye wanaendelea kupeta huko kwenye chama chenu. Hapo sasa akimwaga ugali patakuwa patamu kweli, maana uone hata wanaotishia tishia wanaogopa hata kutaja majina ni sisi tu kiherehere chetu ndio tunaosema ni fulani na fulani. Ngoja wamfukuze muone kama hautakuwa ndio mwisho wa chama chenu, mnataka kumtoa kama mbuzi wa kafara!. Fikirieni mara mbili mbili, mtakapomfukuza tu tunasubiri tukiingize chama chenu kwenye vitabu vya historia.
 
kwani wameiba nini? ukweli ni kwamba lowassa anaweza kuwa mla rushwa ila kwa hili la dowans anaonewa. nilishawahi kuzungumza nae anasema mipango yote ya kuja dowans na mikataba jk alishirikishwa. ndio maana kwenye hotuba fulani jk alisema 'nilimuuliza msabaha...' . kumhukumu lowassa kwa hili hadi kumwondoa ccm bila ushahidi narudia si haki.
Google

Kwa hiyo hata hii thread kakutuma uilete? Mamluki wewe. Mwambie hatudanganyiki!!!

Mambo ya CCM yanawahusu nini shughulikieni matatizo yenu yaliyomo CDM
Jenga hoja, sie wengine ni CCM lkn ufedhuliwa watu kama nyie ndo unatufanya hata baada ya miaka 50 ya uhuru MTZ bado anaishi chini ya dola moja kwa siku.
 
Back
Top Bottom