Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anaeweza afuatilie wana JF, tuone kama amekuja na jipya.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kikwete ameweka rekodi kama Rais wa kwanza kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la kwaya pale alipoalikwa kwenye tamasha la pasaka lililoandaliwa na Msama Promotions. Sijui kama haya yalikuwa maoni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kilichojiri kikao cha kamati kuu ya CHADEMA siku ya Jumamosi tarehe 30.04.2011 Ø Zitto apinga mpango wa ununuzi wa magari ya Chama ya mitumba kutoka India yenye thamani ya Tshs 480 milioni...
0 Reactions
236 Replies
17K Views
Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, amesema Azimio la Arusha halijafutwa kama watu wengi wanavyodhani. Mwinyi alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa Benki ya Biashara ya...
0 Reactions
261 Replies
28K Views
Umekua ni utaratibu kwa viongozi mbalimbali wa kuteuliwa na kuchaguliwa kuapishwa kwa kushika vitabu vya dini/madhebu yao na kuapa kwamba watailinda katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Post Election Advertising - Is it necessary??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF. Heshima kwa wote. Ile Ziara ya Maandamano ya Nyanda za Juu Kusini imewadia.Maandalizi yanaendelea vizuri na kesho ndio msafara unaoondoka kwa Convoy kuelekea Mkoani Mbeya. Maandamano...
9 Reactions
183 Replies
16K Views
Ndugu zangu wajf, baada ya marumbano na minyukano baina ya MBOWE na ZITTO. Sasa naomba mwongozo wenu wanajf kwa kuuliza maswali yafuatayo:- (a) Nini chanzo cha mgogoro wao! (b) Mgogoro wao ni kwa...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Bila ushabiki wowote wa kisiasa, ninawasihi na kuwashauri CHADEMA muwaache watu walime huu ni msimu wa kilimo. Kama nyote mjuavyo, nchi yetu inategemea kilimo tena cha jembe la mkono. Hiki ni...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Kilikuwa ni kikao cha KUU (Kamati ya Ulinzi na Usalama) kwa ajili ya kusaili vijana wa kujiunga na JKT. Mara akaingia kijana mmoja OFINI KWA DC, Mkuu wa Wilaya ya Urambo kwa kile kilichoonekana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Prof. Safari kajiunga RASMI na CHADEMA na hivi sasa yupo Live anajaribu kutoa ufafanuzi wa kwanini kajiunga CHADEMA. Tutaendelea kujuzana kinachoendelea, fuatilia updates hapa chini...
20 Reactions
506 Replies
49K Views
Katika vita yeyote ile ni kosa la jinai kufanya tendo lolote linalo imarisha mshikamano ndani ya kambi ya adui. Hii inatokana na ukweli kwamba adui wanapoanza kuzozana wao kwa wao wanatoa fursa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ushauri wangu ni kuwa chadema myanunue magari hayo tu mpaka yatapopitia kwenye hatua zifuatazo: 1. yathaminiwe na msamini ambaye ni independent. 2. yapitie kwa dealer wa magari hayo ili kujua...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika hali ya kawaida na maisha ya kila siku ni vigumu kutenganisha vitu hivi viwili. Haviwezi kutenganishwa kwa sababu aidha kimoja kinasaidia kingine au kimoja kinaharibu kingine. Hapa kwetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kipindi cha Mkapa mishahara ilitoka tar 24. Serikali ya JK inachelewesha sana. Kwa mfano hadi leo hatujapata mishahara. Nilidhani ni sisi tu lakini leo nilikuwa udsm nikaona tangazo pale utawala...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimestushwa na kushangazwa sana na kauri ya katibu mkuu mpya wa CCM bwana Wilson Mukama aliyoitoa akiwa Zanzibar akidai CCM ina itikadi ya ujamaa na kujitegemea na kutangaza ati CHADEMA hawana...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Wednesday, 04 May 2011 08:36 Rachel Balama na Rose Itono, Jijini CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeazimia kuandaa mkakati wa kuangalia ubora wa wanachama wake kuliko kuendelea kuwa na mamluki ndani...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Kuna news nimeiona Michuzi (siku hizi anabania huwezi ku copy text from his blog), ambazo zinaonyesha how bold huyu Dr Shein is. Anasema kuwa hoteli itajengwa Stone Town na asiyetaka akashtaki...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Pokea hongera zangu mheshimiwa rais kwa kufanya haya yafuatayo kwa ufanisi mkubwa. 1. Umepigana kufa na kupona na kuhakikisha Dr. Slaa hasikii harufu ya ikulu. 2. Hukulala usiku na mchana hadi...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
habari wana jf naomba msaada wa namna ya kurejesha faili ambazo zimeliwa na virusi,ntashukuru kwa maelekezo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…