Hongera Mheshimiwa "Rais" Rostam Aziz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Mheshimiwa "Rais" Rostam Aziz

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Tanganyika, Feb 9, 2011.

 1. Mr. Tanganyika

  Mr. Tanganyika Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pokea hongera zangu mheshimiwa rais kwa kufanya haya yafuatayo kwa ufanisi mkubwa.

  1. Umepigana kufa na kupona na kuhakikisha Dr. Slaa hasikii harufu ya ikulu.
  2. Hukulala usiku na mchana hadi ulipohakikisha Jakaya anaingia ikulu.
  3. Umetumia kila linalowezekana kuhakikisha Sitta haukwai uspika.
  4. Umepandikiza spika wako umpendae mama Makinda.
  5. Umetumia hila za ajabu kuua upinzani rasmi bungeni - japo hujafanikiwa sana.
  6. Umesaidia rafiki na wapambe wako kushika kamati nyeti za bunge.
  7. Unajipanga kumsafishia njia swahiba wako Lowassa agombee 2015.

  Kazi uliyofanya ni kubwa, tunakuzawadia kifuta jasho shilingi bilioni 94!
   
 2. n

  nyangau Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimeipenda hii
   
 3. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hiyo yenyewe inabidi ipatikane e mail yake tumtumie huu ujumbe umetulia sana.
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  you have spoken my mind, hamna bull zaidi ya ROSTAM kule CCM

  BORA RAIA WOTE WAKUCHUKIE KAMA MUBARAK WA MISRI KULIKO MTU MMOJA ROSTAM AKUCHUKIE
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Safi banaaa..
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo slaa hafui dafu kwa rostam?
   
 7. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  imetulia.
   
 8. markach

  markach Senior Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Rostan ww ama kweli ni Raisi, You have made History
   
 9. J

  JOYCE JOACHIM Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli hii kiboko
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  He who has the gold, makes the rules Wakuu !
   
 11. F

  Fareed JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ndo maana yake!! JAMBAZI LA MAJAMBAZI!
   
 13. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hilarious but too earth-shattering and carrying a considerable great weight........
   
 14. c

  chelenje JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duu!bongo noma,najiandaa kuja bongo kumwomba R.A atuachie japo mwezi mmoja tufurahi, king maker wa bongo. Huku nilipo Berlusconi yeye na zipu tu.
   
 15. Q

  Quick Senior Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  "Huwa naingiza Bil. 550 kwa mwezi sasa hii Bil. 194 sijaona kitu hapa"
   
 16. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ndg yangu Tanganyika unayo macho unaona mbali. Huyu jamaa noma kweli kweli, halafu yuko kimya!!!!!!! Lakini nadhani atatimukia Canada maana anazo pasiport nyingi tuu!!!! Atawaachia wenzake moto, maana Utunisianism uko mlangoni, hata wakijifanya hawaoni!!!!!!!!!!!!!!Karibu inaanza Misriism!!
   
 17. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Roatam ni VIRTUAL president of united republic of TZ!! JK ni msemaji wake.
   
 18. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Huwa hasemi chochote, labda kama ulimaanisha ni image yake:clap2::clap2:
   
 19. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #19
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu mjepu,

  Hshima yako! what I can say kama yote yanayosemwa ni kweli basi huyu bwana Rostam ni mtu mwenye kipaji cha kipekee sana, nadhani utakubaliana na mimi mtu unaweza ukawa na pesa lakini usifanikishe missions zako lakini huyu bwana kama yasemwayo yooote yanaukweli atakuwa ana kipaji kikubwa sana cha kufanya akubalike na kukubaliwa mikakati yake. Inabidi CDM wapate mtu mwenye sifa kama Rostam za kuweza kupigana kufa na kuhakikisha mtu amtakae anaingia ikulu, kuweka spika na mengineyo kama alivyosema mleta habari na ikiwezekana kukuulia mbali CUF.
   
 20. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  .....hivi haiwezekani tukalipiga mawe gari lake wakati anapita ama kuunguza nyuma/mali zake hasiuawe lkn akapata msg!! ....maana kisheria na kimahakama ameisha tuwahi. Serikali imomikononi mwake, bunge nalo! kinachobaki ni sisi kwa umoja wetu kupambana nae. Tunatakiwa tu kuacha woga na kuwaza juu ya Taifa letu na watu wetu wanaoteseka kwa ajili ya ufisadi wa bwana huyu....naamini tunaweza!!
   
Loading...