Enzi za Mkapa mishahara ilitoka mapema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enzi za Mkapa mishahara ilitoka mapema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Apr 30, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kipindi cha Mkapa mishahara ilitoka tar 24. Serikali ya JK inachelewesha sana. Kwa mfano hadi leo hatujapata mishahara. Nilidhani ni sisi tu lakini leo nilikuwa udsm nikaona tangazo pale utawala kuwa hadi jana cheque haikuwa imefika kutoka hazina hivyo jtatu watafuatilia. We should admit that we have a very weak govt in power. hata mishahara?
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hii balaa sasa kumbe jinsi ilivyo...
   
 3. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Misharaha imekopwa hiyo, kulipia ghalama za mawaziri hotelini
  lakini pia kumbuka kwa sasa chama chama magamba hakina mdhamini ,
  waliokuwepo wanawaita magamba
   
 4. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mkuu acha tu, halafu eti kesho tukasheherekee mei mosi wakati hakuna mishahara!!!! yaaani tabu maana wengine akiba tulikula pasaka..
   
 5. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  lakini pia hii hoja yako imekaa kidini duh
  hahahahahahaha wewe subiri waje vilaza wa JK tu utasikia laana zao
  maana siku hizi ukisema kitu kuhusu SERIKALI unakuwa mdini sasa na
  shindwa kuelewa hii serikali ni dhehebu
   
 6. z

  zamlock JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  na bado
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Mgaya alipotangaza mgomo wa wafanyakaz,akatokea mbayuwayu,changanya na zenu&sizitaki kura zenu.i direct my question to you all,je mlichanganya mkapata nn? Mgaya kip kilimkuta? Kima chin 315000,kilishindikana?
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kwa mtazamo wangu mlengo wa kati ni kwamba, kama mshahara inatoka kabla ya mwezi kumalizika ni makosa, na nashangaa tathmni ya utengaji, mahudhurio, na mengine yalifanywa lini na hivyo wafanyakazi walipwe tarehe ya mwisho ya mwezi. Ingekuwa sahihi mishahara ingekuwa inalipwa wiki ya kwanza mwishoni au wiki ya pili. Kwa maneno mengine mishahara inalipwa kienyeji bila tathmni sahihi.

  Ndio maana wawekezaji wanapolipa mishahara baada ya tathmini ya riport ya mahudhuria kazini wanaambiwa wanachelewesha mishahara kumbe ni sababu ya kutojua na tumezoea mfumo wa kijima. Kwangu kuchelewesha mishahara mpaka kufikia tarehe 15 hapo ni jambo la kulalamikiwa.
   
 9. n

  niweze JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Please stop talking comparing Mkapa and Kikwete, the truth is both are failures and losers. More they are both Mafisadi wakubwa
   
 10. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hata viwango vya ujinga hutofautiana!
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkubwa NIWEZE, Kuna tofauti kubwa kati ya Bw. Ben na JK, Ben alikuwa Rais hodari, mchapakazi, mwenye maamuzi na uthubutu na focus! Huyu wa sasa mambo ni tofauti, mpenda majivuno na sifa za papo kwa papo! Ktk ufisadi kwere ni fisadi zaidi!
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu sera na terms za wawekezaji (Private) na umma (Public) ni tofauti sana wakati ya kwanza inajikita kwenye Profits making ya pili inajikita kwenye service provision na social welfare (less/unprofitable)
   
 13. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hiyo ya service provision and social welfare inaendeshwa kijima, maana hata kwa akili ya kawaida tu mfumo wa sasa mfanyakazi analipwa hataa siku asozofanya kazi kwa utaratibu huo. Utaratibu niliokuambia ni ule ambao mfanyakazi atalipwa haki yake baada ya kufanya kazi ndio mfumo wa uchumi po pote, vinginevyo ni mataifa yasiyofanya mambo kiuchumi na kuhakiki tendaji wa waajiriwa.
   
 14. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  mshahara tarehe 39 au 40 duhh
   
 15. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watz tukumbuke wakati wa Che Ben hakukuwa na mtikisiko wa uchumi wa Dunia! Hili la mtikisiko wa uchumi wa Dunia umeathiri sana makusanyo ya serikali, hivyo muwe na subira vurugu za Libya zipo karibu kwisha mambo yatakuwa shwari.
   
 16. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,960
  Likes Received: 20,299
  Trophy Points: 280
  Katika upande wa mipango, makusanyo ya fedha na matumizi, kuwalinganisha mkapa na kikwete ni makosa makubwa. Mkapa alijua kutumia pesa kwa umakini mkubwa na kuzuia mfumuko wa bei bila kujali hali iliyokuwa ikiendelea katika 'chumi nyingine' mataifa mengine. leo hii bwana 'matanuzi' kila anachokusanya mwezi huu anakula leo, mishahara inacheleweshwa na utasikia ni kwa sababu marekani walikuwa katika mchakato wa kumuua Osama:frusty:
   
 17. m

  matunge JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Issue ni kubadilika badilika kwa tarehe ya kupata mshahara !!! ikiwa tarehe 20, na iwe hiyo, 30 na iwe hiyo kila mwezi...siyo leo tarehe 20, mwezi ujao 30....inaboa sana
   
 18. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ukweli ni kwamba JK aliahidi kuwa wafanyakazi tarehe 25 ya kila mwezi watumishi wawe wamepata mishahara, kinachopeleka sasa kushindwa kutekeleza hilo ni jibu la assumption kuwa serikali imefulia na hivyo inadunduliza hadi mishahara ya watumishi wake.
   
 19. i

  ismila Member

  #19
  May 2, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nafikiri wewe hufatilii mambo,mimi nimekuwa mtumishi wa serikali zote mbili.Enzi za mkapa mishahara ilikuwa inchelewa sana halafu midogo
   
 20. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena JK ameleta neema serikalini, heshima ya watumishi wa umma imerudi, Mkapa sikupenda suala ya kutufanyisha usaili watumishi wa umma iwapo tunataka kupanda cheo. Hatimaye nafasi nyingi zilikuwa zinachukuliwa na watu waliokuwa nje ya ajira ya serikali.
   
Loading...