file zilizoliwa na virusi katika flash disk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

file zilizoliwa na virusi katika flash disk

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by plawala, May 4, 2011.

 1. p

  plawala JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari wana jf
  naomba msaada wa namna ya kurejesha faili ambazo zimeliwa na virusi,ntashukuru kwa maelekezo
   
 2. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapa umepotea njia,hili ni jukwaa la siasa kwenye upande wa katiba mpya.Watu watasoma na kuendelea na shughuli zao.Jaribu kule jukwaa la Advice au Chit-Chat.Kwa kuwa wewe ni Senior member nilitegemea ungekua unajua hili.Wapo wataalam pia kule kwenye jukwaa la Enjoy This.
  Hope nimekusaidia.
   
 3. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  KAMA UPO DAR ni PM nikupe msaada
   
Loading...