Kauli hii "anatafuta umaruufu" inakera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli hii "anatafuta umaruufu" inakera

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fidel80, Jun 27, 2011.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Imekuwa sasa ni fashion kwa watendaji wa serikali kunyamazisha hoja za wazalendo kwa kudai eti huyo mtu anatafuta umaarufu hii kauli sasa imekuwa kama ndo mtindo mpya wa kuzima hoja za watu na kuendelea kutetea watendaji wachovu serikalini. Utasikia huyo Zitto anatafuta umaarufu hapo hapo jambo linalo zungumziwa ni la ukweli kabisa lakini hawa jamaa utasikia huyo anatafuta umaarufu. Kwani Zitto sio maarufu mpaka mmwambie anatafuta umaarufu??? au Ole Sendeka sio maarufu mpaka mseme anatafuta umaarufu kwa kutetea wanyonge acheni hizo bana labda mtuambie kuwa hili neno anatafuta umaarufu lipo katika ilani ya chama cha mapinduzi tutawaelewa.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  ...Fidel 180, nina mashaka unatafuta umaarufu!..tehe tehe tehe teheeee!

  Mkuu, huu ni utetezi dhaifu sana wa wanamagamba!...Ni kujitetea kwa wananchi kwa yale ambayo wanajua kabisa hawakuyatekeleza kwa uzembe!
  Aidha wanadhani watu bado ni wapumbavu watakubali ujinga huo!
  Upumbafu!
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha hii basi itakuwa kwenye ilani ya chama mtu yoyote anae kemea uovu anaonekana anatafuta umaarufu.

  Nimemsikia jana Ngeleja eti watu wanao lalamika mgao wa umeme wa masaa 10 wanatafuta umaarufu
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  kuna yle jamaa wanamwita mwanasheria mkuu..ndo anapenda kweli kusema hivi pamoja nawengine wengi wana magamba walio na elimu za mashaka na wasiojua kudadavua mambo!!
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kila kitu eti wanatafuta umaarufu sijui umaruufu gani wanautafuta hii ni sawa na kumziba mdomo mtu.
   
 6. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Naona ngereja naye ameibuka na hiyo kauli ya kusema kuwa wanasiasa wanatafuta umaarufu,hapa moja kwa moja anawalenga Pro.lipumba na Dr.slaa.
   
 7. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwani ni dhambi kutafuta umaarufu kwa njia halali?? Dhambi ni pale mtu anatafuta umaarufu kwa kutoa ahadi za uongo kama JK na ccm yake wafanyavyo!!
   
 8. f

  fikiriakwanza Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kauli chovu ,maana huyo anayesema kuwa anatafuta umaarufu,swali la kujiuliza yeye je anatafuta nini?eti kumtetea mtu au usipokubaliana na hoja ya mtu fulani ni kuwa unatafuta umaarufu.Wewe sio Mungu hata useme jambo likubaliwe na kila mtu lazima tuhoji panapostahili lazima tukatae panapotakiwa kukataa.Hoja hiyo ni hoja iliyokufa.Toa majibu sahihi na sio urukie kuwa jamaa anatafuta umaarufu.Ndio hata kama ni umaarufu lakini tokana na uzembe wa watendaji walishindwa kukaba.Eti Yanga asimfunge goli simba kisa kuogopa kuambiwa anatafuta umaarufu.Ndio maana tupo kwenye gemu.
  ACHENI UMUNGU MTU.
   
 9. k

  kazuramimba Senior Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ila kiukweli hawa wakatoliki wanatafuta umaarufu kwa kujidai wazalendo but si lolote si chochote.Hawana tofauti na chiluba alijidai ana uzalendo but alipoingia alifanya mavi kama sio ushuzi.
   
 10. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  walianza na neno ''alikuwa mzigo usiobebeka''wakati ule watu wanajitoa kwenye chama chao.... hivi hawa watu hawajui kusoma tarehe kabisa?? bado wanaishi miaka ya zamani hawajui sasa hivi idadi kubwa ya watanzania si ya kulishwa uchafu....wengi wanajua kusoma na kuandika :bange:
   
 11. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Namuuliza mwanasheria mkuu eti kati yake na zito nani ameanza kuwa maarufu ,kati yake na wanasiasa wazalendo nani ni maarufu kwa wananchi,tunachukia sana kufanywa kama watoto wagogo,umefika wakati tunataka kuthaminiwa na nchi itendewe haki sio watu wafanya maamuzi kama nchi ya kwao
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Huyu ni wa kumsamehe tu, anadhani treni huwa inachomekewa,.............anafikili kwa kutumuia makalio

  [​IMG] kazuramimba


  Today 09:37 AM

  #9 [​IMG]

  [​IMG] Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]


  Join Date : 14th June 2011

  Posts : 35

  Thanks
  0
  Thanked 5 Times in 5 Posts

  Rep Power : 0
   
 13. v

  valour Senior Member

  #13
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Yote 9, 10 ni hii ya Ngeleja, leo asubuhi kwenye taarifa za habari nasikia eti vyama vya upinzani vinadandia hoja ya umeme ili kujipatia umaarufu, tusiwasikilize. Nilikasirika sana nikasema matatizo muhimu ya nchi hayawezi kutatuliwa mpaka wapinzani waingizwe. Nimekosae umeme masaa 26, leo hii unaniambia nisimsikie mpinzani. Sina haja ya kumsikiliza mtu yoyote ninachotaka umeme na sio porojo. Nasikia hali ni mbaya kuliko tunavyofikiri.
   
 14. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #14
  Jun 27, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  hivi embu nambieni, ni mwanasiasa gani ambae hatafuti umaarufu??? umaarufu ni udhaifu na hulka ya binadamu, YESU tu ndo alokataa umaarufu lakini akawa maarufu. hao wanasiasa wanaosema kuwa wenzao wanatafuta umaarufu ndo wao wanaotafuta umaarufu kwa njia ya neno UMAAARUFU
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huu udini sasa na wewe naona unatafuta umaarufu.
   
 16. F

  Fresh Air Member

  #16
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, watoa kauli hii hakika ni watu wa ajabu! Kwani, sisimmh inapojivua gamba inafanya hivyo ili iweje? Sio kutafuta umaarufu kabla ya 2015? Halafu kuwa maarufu ni simple kupita maelezo: tupeni waTz umeme, shughulikieni kina RACHEL, tupeni barabara, ondoeni foleni za dar, tupeni hospitali, elimu, maji, na nafasi ya kufanya shughuli za kiuchumi pasipo mikwara muone kama hamtakuwa maarufu!
   
 17. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kwa swala la umeme naona kila mtanzania anatafuta umaarufu maana wote tunalilalamikia, ngeleja asiwasingizie wanasiasa peke yao.
   
 18. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni kauli ya mtu aliyeshindwa kujibu hoja, anayepwaya na kushindwa majukumu yake. Lipumba na Slaa walikuwa maarufu toka kabla ya Ngeleja kumaliza chuo kikuu. I hate this hopeless minister! Lakini unfortunately kauli hii hutumiwa hata na wapinzani kunapokuwa na issue ambayo kiongozi huyu au yule hakubaliani na mwenzake. Kwa ujumla ni kauli ya kkudhi.
   
 19. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kutoa kejeli dhidi ya ukatoliki ni kufilisika kunakofanana na wale tunaowakemea kwa kukashfu waislamu kwa misingi tu ya imani. Hoja hapa iko wazi halafu wewe unaleta kashfa za kijinga. Kama wewe kweli ni muumini wa dhati, ni dini gani inaruhusu au kufundisha kubagua watu wengine? Upuuzi huo ambao ni dhambi kwa kiwango cha maadili ya dini yoyote ile ni wa kuukemea kwa nguvu zote.
   
Loading...