CHADEMA sasa wajuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA sasa wajuta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Abdalla Khamis, Jun 26, 2011.

 1. A

  Abdalla Khamis Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Kila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema imekuwa imeshutumiwa kuwa ni chama cha kidini huku viongozi wake wakijaribu kuzitetea siri hizo zilizo katika uvungu wa kapeti.sasa siri hizo zimefichuka nahivyo wafuasi wake kuanza kung'amua na hivyo kukata tamaa na chama hicho kilchoaminiwa kama cha kitetezi huku kikijificha.Na sasa viongozi wa chadema wanajilaumu kwa kufanya kikao hicho kilichofichua siri.   
 2. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakati akihutubia taifa mwenyekiti wa chama cha Magamba aliwahi kuwaambia watanzania wawapuuzie CDM kwa sababu maandamano yao yanachochea vurugu, asubuhi yake waziri wake atangaza bei ya sukari ishuke kutoka sh.2000 hadi 1700, hilo lilikuwa ni agizo mojawapo la CDM kwa serikali ndani ya siku saba....tafakari hilo halafu linganisha na huo upupu wako wa hapo juu
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Dini gani hiyon unayoihusisha na CDM? Kikao kilifanyika wapi na lini? Hujaeleweka kuwa sasa wananchi wamewashutukia, ni wapi huko mbona mimi naona hawa jamaa kila uchwao wanajoingezea umaarufu kwa hoja ambazo wanazitoa bungeni.
   
 4. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Umetoa maelezo kama vile hayajitoshelezi hivi,ungeeleza kitu gani kinachofanya CDM kianze kujuta,kikao gani kilifanyika,lini,na kitu gani kilichojadiliwa kwenye hicho kikao,ebu jaribu kuleta kitu kamili na siyo kuipapasa tu juujuu.
   
 5. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Watumishi wa Magamba mnafanya kazi kubwa sana na ya kuchosha kweli kweli. lakini ima ni niliyo nayo ni kwamba hamlipwi inavyotakiwa. Hebu fikiria namna mnavyofanya bidii kutunga uongo na kuufanya uwe na sura ya ukweli. Fikiria mnavyofunga macho na masikio yenu msione ukweli kweupe na hatimaye mkaabudu uongo mkubwa na kuitaka jamii iamini ujinga wenu.

  Ninajua kuwa kama watu wengine mngependa kuheshimiwa kama wajanja wengine lakini mmejitoa sadaka muhesabiwe kuwa uchafu kwa maneno yenu ya siasa za maji taka. Kwa hakika mnastahili pongezi kwa bidii hii na kujitolea sadaka.
  Tatizo ni kwamba mnajitolea sadaka kwa mungu mkengemfu. mungu aliyelaaniwa, mungu wa mafisadi.

  Poleni sana!!!!!!!!!!
   
 6. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Sosi...vp umeenda kanisani leo?
   
 7. T

  Technology JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  kwani ktk orodha ya viongozi wakuu wa chadema, wakatoliki ni wangapi?
   
 8. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pinda pia ni mkatoliki
   
 9. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wasira au Tyson ni mkatoliki
   
 10. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Miongoni mwa viongozi Wakatoliki ni Nape, Mkama, nk
   
 11. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nimeamini kweli siasa ni si hasa!hv unaweza kutujuza kuwa chadema n akina nan na wananch ni akina nani?sielew elew hapa unamaanisha nn mukubwa.
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,549
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Wa chama cha magamba wakiongea utawajua tu! wanaweka tuhuma nzito bila kuweka uthibitisho wowote wa kile wanachoongea. Kavue gamba kwanza linalowashinda/linalowaelema kulivua kisha ndio uweze kuongea tuhuma zako nzito dhidi ya CHADEMA.
   
 13. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nakerwa sana na nyie maohubiri udini wa CHADEMA, nawaambie siku watu wakiwaelewa na huo udini mnao uhubiri mtajuta kuyasema hayo.
  'try to imagine' hao wakriso wote waliamua waipigie KURA CHADEMA hocho chama cha magamba unafikiri kitabaki'achemi hizo hoja za upotoshaji
   
 14. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata kafu tuliambiwa kuwa ni chama cha kidini. usenge huu. tulishauzoea. kila anayepingana na CCM ni mdini. mafala nyie. you'll never stop us.
   
 15. Mcmamo

  Mcmamo Member

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swali ambalo halijajbiwa km chadema ni cha kidini 2ambien hao raia wanaojtokeza kwny maandamano ni wa dini hyo ya chadema au wote wana akil ya 'kushikiwa?' na pia hoja wanazotoa Chadema zmelenga kutetea 'dini yao' tu?! Changanya na zako.
   
 16. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  inasikitisha sana...yaani hawa jamaa wako brainwashed mbaya! hawana tofauti na wale jamaa wanaojitoa mhanga wakiamini watakutana na mabira 72 ahera lakini viongozi wao wenyewe wanakula bata hapa duniani!
   
 17. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kazi kweli kweli!!! Anyway... Good try....
   
 18. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #18
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pia Mbowe si mkatoliki.
   
 19. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kilichonishangaza ni kwamba mwanzilishi wa thread hii siyo malaria sugu!!!!!!!
   
 20. vena

  vena JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we nenda kwanza kajifunze jinsi ya kujieleza vizuri then ndo uje kupost huku coz post za majungu nazifahamu vizuri.....
   
Loading...