Nape nakupongeza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape nakupongeza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MJIMPYA, Jun 23, 2011.

 1. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Kwa sisi wapiga kura tusio na ushabiki wa vyama au viongozi, tunafurahishwa kuona siasa balanced.
  Tulizoea kusoma habari za upande mmoja hasa hapa JF, lakini baada ya JK kumteua kijana Nape ameleta changamoto.
  Kwa sasa hata wale waliozoea kutoa tuhuma kila siku, sa hivi wako makini kupanga hoja zao maana wanajua yuko wa kuwajibu. Hivo hivo hata CCM kwa sasa nadhani hawawezi kujisemea tu make wanajua wako wanaofuatilia kuona kosa.
  So mkuu Nape nakupongeza na ukiwa na nafasi wape vijana ili mlete siasa zenye mvuto na si za kizee tu.
   
 2. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bado siku 13 kuwatimua mapacha 3
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kama unampenda mwite nyumbani umpe chai!...Hapa hapendwi mtu!
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  wewe ni ccm bana
   
 5. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Siasa zipi zilizo balanced ambapo Serikai ya CCM inayaongezea makampuni ya madini misamaha ya kodi ili hali bajeti yetu inawategemea wafadhili kwa kiwago kikuba kiasi hichi? Sasa nini maana ya kuwa Sekreterieti imara ya chama kama inashindwa kutoa uongozi kwa Serikali yake. Kifupi CCM imejijengea utaratibu wa kuwa na Serikali isiyisimamiwa ipasavyo na chama hivyo akina Nape ni matarishi wa vinaka uchumi waliowekwa Serikalini na CCM.
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hakuna lolote ni usanii mtupu!!
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,976
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Wacha porojo wewe,hana lolote huyo.
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hapa tunataka hoja za kujenga nchi yetu masikini!!
   
 9. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa ni mzamani si kama jina lake linavyosomeka!!
   
 10. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  (Hapo kwenye red) anawajibu mwenyewe au ni wale vijana walioajiriwa kwa jukumu hili!? ....loh, hata tangazo la kazi hii sikuliona popote, ningeomba pia
   
 11. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  aaaaaiiiiiiii mbona inaonekana uko upande wake?????
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  bado siku 13
  mtaweza kujua nani atamtoa
  nyoka pangoni
   
 13. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  nilishasahau muda, patamu hapo!!
   
 14. m

  matawi JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Bado siku 12 maana ya leo imeisha
   
 15. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160

  "In wartime, truth is so precious that she should always be attended by a bodyguard of lies." – Sir Winston Churchill (1874-1965) Prime Minister of the United Kingdom
   
 16. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nimeona ni vyema nimpe angalizo K/mwenezi wa chama cha CCM ndugu Nape, Ni ukweli kwamba CCM ilipofikia sasa kujivua Gamba haiwezekani ila ninaloliona mbele ya chama hiki ni kifo cha mende.

  Nimesoma Gazeti la mwanahalisi tuhuma nyingi wanazorushiana waheshimiwa mbalimbali wanaowania kiti 2015 kupitia chama hicho ni dalili ya kujiangamiza kabisa. Membe against Lowasa, Uswahiba wa Lowasa , Kinana, Membe, Rostam na Sita uliokuwepo awali umegeuka kuwa wadui miongani mwao.

  Mara tunasikia Lowasa amedhamiria 2015, Sumaye asemi lolote lakini bado yumo, Sitta, Membe mwenyewe, Mwandosya japo yuko kimyakimya, Uwezi ukaacha kumzungumzia Kigoda maana alikuwa swahiba mkubwa wa Beni, na pengine bado anauchungu wa kudondoshwa na wengine wengi. Kinachoendelea sasa ni kupigana vijembe ndani ya Chama hicho. Nakumbuka Msekwa alipojaribu kumunyooshea kidole EL kuwa harakati zako za 2015 zitakiharibu chama, yeye alijibu kwani kuna dhambi kufanya hivyo au kuna mtu mumemuandaa ? Msekwa akanyamaza

  Hayo machache tu, leo hii Nape unazungumzia kujivua gamba kwa kuondoa mafisadi ndani ya chama chako wakati jambo dogo la kukijenga chama ili kitengamae limekushinda ?

  Yapo mengi yanayoonyesha chama hicho kuendelea kuwa Imara ni jambo lisilowezekanika, mtafanyeje ili CCM iaminiwe na watanzania ?
   
 17. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,576
  Likes Received: 4,690
  Trophy Points: 280
  Yote tisa, kumi mapacha watatu wang'oke magamba, porojo hatutaki
   
 18. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Si utumie facebook yake unaandika porojo kwa lipi alilofanya unajua nape ni mbaguzi mpayukaji mropokaji
   
 19. M

  Mkali wa Leo Member

  #19
  Jun 23, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nape hongera sana kwa kubalance mana hao wajinga walifanya jamii f yao
   
 20. m

  mgheni amani Member

  #20
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana nilikuwa namtazama EDWARD LOWASA akichangia hoja bungeni kwa mara ya kwanza toka ajiuzulu, lengo ilikuwa kupima nguvu na uwezo alionao ndani ya ccm baada ya propaganda ya kilivua gamba iliyoanzishwa dhidi yake ukweli ni kwamba Nape anajihangaisha na ukweli wa mambo ni kwamba waliompa hii kazi hawana nia njema na future yake kwani watammaliza mtoto wa watu kisiasa namuonea huruma kwani bado kijana mdogo anapaswa ajiulize kwanini wakubwa wake akiwamo mwenyekiti wake hathubuti kunyanyua mdomo dhidi ya LOWASA? Nape nakushauri swala la kuvua gamba wamekutupia zigo huwawezi hata kidogo wamekudhidi umri na hata ushawishi wewe endelea na kazi zingine za chama ambazo hata hivyo zinaboa kwani wananchi wamekata tamaa na nyie
   
Loading...