Kutoka Bungeni, live

Daffi Jr

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
3,825
906
Wana JF napenda nichukue nafasi hii kuwahabarisha yanayoendelea bungeni,inawezekana wengi hamko karibu na tv au chombo kingine cha habari!Ilikuwa ni jukumu la GHORST RIDER sijui MODS wamempiga stop au vipi.Thus fuatilia hapa
 
Oletelele mbunge wa ngorongoro adai kenya inanufaika zaidi na babu wa loliondo,adai imemtangaza huko kuwa anapatikana kusini mwa kenya nawageni na wagonjwa wengi wanatua kenya na kusafirishwa kwa babu kutoka kwao,ahoji kwanini serikali na wizara husika isikanushe na kuchukua hatua
 
Mama mbunge kutoka Pwani alalamikia maendeleo duni ya mkoa wake kuwa ktk mikoa ya mwisho nchini kwa maendeleo,anadai miundombinu mibovu ndo inachangia maendeleo mabovu ya mkoa wa pwani,thus serikali ichukue jukumu la kuboresha miundombinu na kuanzisha viwanda vidogo
 
Ghost Rides alikuwa mtoaji mzuri wa habari za Bunge naona alikuwa anatishia kibarua cha Invisible ndio wakampa BAN ya Maisha
 
Anaeyendelea sijui ni nani hajaongea kitu mpaka sa hivi
 
Oletelele mbunge wa ngorongoro adai kenya inanufaika zaidi na babu wa loliondo,adai imemtangaza huko kuwa anapatikana kusini mwa kenya nawageni na wagonjwa wengi wanatua kenya na kusafirishwa kwa babu kutoka kwao,ahoji kwanini serikali na wizara husika isikanushe na kuchukua hatua

mkuu kama habari zenyewe ndio hizi basi tunashukuru sana, haina shida utatuletea siku nyingine
 
Ameanza na stori ya zama hizo,eti ukitaka shati ya mikono mirefu unakatwa mikono,anasisitiza kudumishwa kwa amani.naona anakazia sana hapo.
 
Huyu sheikh Khatib Ameir stori zinakuwa nyingi sasa,amebakia kusisitiza amani kuwa watu watalima,wanafuga nakutembea wakiwa na amani
 
Mama mbunge kutoka Pwani alalamikia maendeleo duni ya mkoa wake kuwa ktk mikoa ya mwisho nchini kwa maendeleo,anadai miundombinu mibovu ndo inachangia maendeleo mabovu ya mkoa wa pwani,thus serikali ichukue jukumu la kuboresha miundombinu na kuanzisha viwanda vidogo
asahau kabisa
 
Huyu jamaa anaanza kwa kulamika kuwa serikali imesahau baadhi ya mikoa kama rukwa, tabora,lindi,kigoma,
 
Anaongelea reli kuboreshwa na wizara husika ichukue jukumu la kutembelea nakuboresha reli koka Rukwa,amegusia pia umeme ili kuwavuta wawekezaji mkoni Rukwa
 
mkuu kama habari zenyewe ndio hizi basi tunashukuru sana, haina shida utatuletea siku nyingine

sasa wewe kaka kama hazikuhusu au hauzipendi si uendelee na thread zingine? Wengine tunazihitaji sana sababu hatuna namna nyingine ya kuzipata
 
Oletelele mbunge wa ngorongoro adai kenya inanufaika zaidi na babu wa loliondo,adai imemtangaza huko kuwa anapatikana kusini mwa kenya nawageni na wagonjwa wengi wanatua kenya na kusafirishwa kwa babu kutoka kwao,ahoji kwanini serikali na wizara husika isikanushe na kuchukua hatua

Vizuri sana, Endelea kutupa habari kadri unavyoweza
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom