Wapelekewa kondom badala ya dawa!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapelekewa kondom badala ya dawa!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TWALICIOUS, Jun 26, 2011.

 1. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wananchi wa kata ya Kasanga mkoani Rukwa,wamepelekewa boksi 10 za kondom badala dawa walizoomba bohari kuu ya dawa{MSD}.kauli hiyo ilitolewa na mbunge wa viti maalumu CHADEMA Suzan Kiwanga alipo uliza swali la nyongeza lililoelkezwa wizara ya afya na ustawi wa jamii............KIWANGA alisema kuwa mei mwaka huu alifika mkoani hapo na kuona wananchi wakilalamika juu ya suala hilosu kitendo walicho fanyiwa na MSD kuwapelekea kondom ilihali wakiwa wameagiza dawa
  Sasa ndugu zangu wana JF hebu tujiulize hivi ni kweli walisahau kupeleka dawa za kutibu wagonjwa hadi kupeleka kondom au wameona kuwa kondom ni sehemu ya dawa hebu tusaidiane kwa hili wana JB
   
 2. maulaga

  maulaga JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 472
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kinga ni bora kuliko tiba!
   
Loading...