kama lisu ni mjamaa chadema itafikia malengo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kama lisu ni mjamaa chadema itafikia malengo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kilombero yetu, Jun 26, 2011.

 1. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kutokana na mahojiano yake na gazeti la raia mwema la wiki 3
  zilizopita alisema yy ni mjamaa kimsimamo,sasa cdm ni chama cha kibepari chenye ushirika na chama cha kikatoliki cha ujerumani,watu wenye imani tofauti na chama hicho si watakiua na ccm itakosa kioo cha kujitazama?
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Chadema inaongozwa na kanuni/taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa constitutional ya chama. Tatizo lenu nyie Tumaini letu mmezoa 'zidumu fikra za mwenyekti'. Na ndio maana akisema alisemalo watu wanatoka mbio bila hata ya kuhoji mantiki yake. Tumeshuhudia akisema tunataka kuvua magamba wote mnaimba bila hata ya kujuwa alimaanisha nini. Bungeni nako mmegeuka veichekesho kuliko hata Mr Bean! Watu wazima mmebakia kusema ndiyooooo, naunga hoja mia kwa mia lakini kepengele cha '3' sikubaliani nacho kabisa! MIA maana yake ni complete!
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tuchunge matumizi ya lugha za watu hizi jamani!
   
Loading...