Chadema mmeshindwa kazi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema mmeshindwa kazi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kajuni, Jun 26, 2011.

 1. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Hi na salam kwa wote....jamani mpona hatuwaelewi? tunaitaji maandamano kuishinikiza serikari kuhusu hili swala la umeme. Tumechoka...tumechoka!! watu wana imani na CDM ila kwa hili inaonekana mnalipotezea... acheni posho!!! Njooni kwa hili linalo onekana kinaga ubaga. Umeme umekuwa mali adimu kama almasi? umeme imekuwa kawaida kukatika kuliko kuwepo?
  Wapi Dr. Kitila vijana wasomi tuna kutegemea...wapi ZITTO... wapi Myika wapi Mh. LEMA? jamani tunaitaji mabadiliko ya kweli.
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hii ni janga la taifa,na hapa tunatakiwa kuweka itikadi ya vyama pembeni,mgao wa umeme siyo mpaka CDM,wananchi wote tunastahili kuungana katika hili.
   
 3. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tatizo wata wanaoathirika zaidi wako dar na hapa dar kumejaa watu waoga wa maandamano! CDM wakiitisha maandamano dar watakaofika ni wamamchinga na vijana wasio na ajira wale has ambao tunaathrika na umeme hataandamani tunategemea nani aandamane?

  Kwa kweli watanzania wasomi wanakera sana maana kazi kulalalamika lakini hatuchukui hatua yoyote hata pale ambapo tuna haki ya kuandamana hatufanyi hivyo!

  Kama wasomi na hasa wafanyakazi wasipoandamana, maandamano yatachukuliwa na serikali ni ya wahuni tu!

  Nchi hii kila mtu anajua viongozi wa serikali hawawezi kuwafanyia chochote chema wananchi pasipo kukidai kwa nguvu.

  Mimi ninauhakika watu wakiibana serikali kwa nguvu ya umma, mgao wa umeme utapatiwa ufumbuzi ndani ya siku chache tu.

  Viongozi wa nchi hii wamezoea kutufanya sisi mabwege, wanajaribu kufanya kitu tusipo react wanakaa kimya tu. Mimi naamini mgao huu wa umeme unaajenda ya siri ndani ya serikali ya magamba. kwanini hakutuambia ukweli juu ya mgao huu badala yake waliwadanganya wananchi? Watu walisema serikali imefirisika wakabisha leo hii hata hela ya mafuta ya IPTL hoi! Tuwafanye nini watu wanaoendelea kutudanganya namna hii?  Watanzania tumelala ndani ya blaketi la amani hata hatuwezi kuamka leo wala kesho jamani? Kwanini watu hata wasiokuwa na akili kama ngeleja wanatufanya sisi mabwege tunakubaliana na lolote wanalotufanyia?


  Mpaka watu wa dar tutakapokubali kushiriki maandamnao kwa dhati ndipo maandamano yatakapo leta tija kubwa katika hii nchi!

  Hata CDM wanalijua hili ndo maana hawafanyi maandamano dar maana watu wa muhimu hawatafika.

  The cream of this country has not contributed enough in the current fight for our right ! Let's wake up and fight for our rights
   
 4. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Tunahitaji CDM watupe uongozi maana kila mtu hawezi kuandamana kuonyesha kutokubaliana na Hali akitokea nyumbani kwake. Kweli wananchi tunaoumia tunahitaji kuwaonyesha watawala kwamba Hali hii haikubaliki. Maandamano ya amani ni njia mojawapo tunayoweza kuitumia haraka. Please CDM we need LEADERSHIP on this....
   
 5. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unajidanganya.
  Hao uliowataja hawataweza kukusaidia lolote. Ni miongoni mwa walalamikaji, wanung'unikaji kama wewe.
  Ni wasanii na matapeli wa kisiasa. Wanachohubiri si wanachoamini na si wanachotenda.
  Wameunda Chadema kwa maslahi yao binafsi. Wewe na wenzanko wa aina yako ndio mtaji wao.
  Ikitokea siku ukazinduka..., utajihurumia kwa jinsi ulivyopoteza muda wako kushabikia upuuzi.

  Wapi na wapi Mkubwa wa chama chako anauzia chama chako matakataka ya fuso kwa mamilioni mamia na nyie mnaishia kumshabikia kama mazezeta???
  Mmekwisha, ...Mnastahili kuonewa huruma.
   
 6. p

  plawala JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Naona unaongea kwa kejeli sana,kwani umeme unaupata wewe?
   
 7. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  hata ukiandamana ukashinda kutwa barabarani kama hakuna pesa hapatofanyika kitu, kwahiyo jamaa acha wakomae na posho ili pesa ile ndiyo ije kubalance mambo ya umeme
   
 8. Zagazaga

  Zagazaga JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  usijaribu kupoteza hoja.gamba wewe.tukianza kuandamana tutaanza na wewe.nyau ww
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Ngonini umesema vyema sana . Hakuna haja ya kuwaita Chadema waje waitishe maanadano kwa hili hata wewe na wengine mnao uwezo wa kuitisha maandano na mkasikilizwa si kazi ya wanasiasa pekee . Watajigawa vipi hao akina Zitto .Naungana nawe watanzania maneno sana wanadhani kazi ya kuiletea Tanzania maendeleo ni Slaa pelee au Zitto no way .Tuamke sote tusonge mbele na si kungojea wengine sote hatuna umeme why tuwangojee wao ?
   
 10. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ni haki kwa Watanzania kuwa na umeme hivyo ni vema kuwepo ujasiri wa kushinikiza tatizo la umeme ufike tamati au wahusika wa tatizo wajiuzulu.
   
 11. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hii sasa serious, yaani chama cha siasa mmekishusa hadi kuwa ni Maandamano Organisers?
   
 12. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Ufinyu wa kufikiri.... katika kila jambo lazima kuwe na kiongozi na dalili zimeonyesha kwamba CDM wanao uwezo wa kumobilize watu na kufikia malengo. Jamani mie sitaacha kuwakumbusha tutoke maofisini tuandamane kwa kudai haki yetu!!!
   
 13. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Sori nilishindwa kuendelea na thread hii kwa sababu ya umeme uku ndo umerudi saa nne tangu saa kumi na moja asubuhi. Kaka umenena vyema!!! ni haki ya kila mtu kudai serikali na sio kila uchao wanaongeza kodi lakini huduma hafifu....jamani tuamke hii serikari ya magamba itatumaliza
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hivi ukiisha andika hivi unajisikiaje? Unaona ndio uanaume wako umekalika ee?
   
 15. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Maandamano yana tija sana. na uzoefu umeonyesha kwamba thru maandamano haki itapatikana. Maandamano ya amani yanatosha kumwamisha mtu magogoni. hata kama itakuwa ni vita na mabomu hawawezi kuwamaliza watu wote. Watashindwa na nguvu ya umma... jamani watu wa Dar na kwingineko AMKA saa ya ukumbozi ndo hii. Amka tudai haki zetu!!! ni wajibu wa serikari na sio ombi kama wengi wanavyo fikiri
   
 16. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Yes we should use common sense although it not common to everyone....kama wewe!!! we unafikiri kama uko serious utaandika utumbo wako.. HIII NI ISHU SERIOUS hapana mchezo. Kama unafikiri tunacheza hapa nenda uko kwenye facebook.... bumbafuuuuu wewe
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Aisee jamaa linajua kutukana hili, vipi sifa zimetosha au bado?
   
 18. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Can you take stock of the achievements made following a series of previous demonstrations?
   
Loading...