Katiba mpya Tanzania kuzinduliwa 2014 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya Tanzania kuzinduliwa 2014

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tango73, Jun 27, 2011.

 1. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Kwa nini serikali inatufanya sisi kama watoto? Yaani inamaana katiba mpya kuzinduliwa bila maoni ya wengi? Lazima ikumbukwe luwa katiba mbovu uchumi mbovu, katiba nzuri uchumi mzuri. Sasa hawa wanasiasa wanataka kutuletea katiba gani 2014?
   
 2. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hii ni kawida ya nchi hii, Vumilia tu ukifika wakati tutajua la kufanya
   
Loading...