Mh. Prof. Baregu na Deus Kibamba ndani ya ITV kipimajoto: Posho

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Bajameni, tujiongezee uelewa wa posho kwa kuangalia ITV sasa hivi. Hawa wataalam wako ndani ya nyumba. Tumemkosa Mh. sana Mkinga
 
Asante mkuu nimeshatune nipata info zaidi naona prof anatema cheche apa
 
Huyu Deus anajitahidi sana. Naona mzee Masako kaelimika siku hizi. Mijadara imemkomaza. Ni baada ya kukosa ubunge CCM.
 
Naona wachangiaji wote wanaziponda. Huyu mzee anasema wafanyakazi wote walipwema ndo hivyo. Wa TZ wamezidi kupata elimu. Ila wengine wanaboronga kama huyu anaonekana kama mwl.
 
Nimependa maoni ya wananchi kupinga hizi seating allowances. Nashangaa kwa nini ccm wanazing'ang'ania.
 
Masako kataja posho 10!!!! Hii ni balaa. Mungu yupo lkn na atawahukumu magamba wote. Deus anasema wabunge waogopwe kama UKOMA.
 
Masako kataja posho 10!!!! Hii ni balaa. Mungu yupo lkn na atawahukumu magamba wote. Deus anasema wabunge waogopwe kama UKOMA.

Hapo kwenye red: Beatrice Shellukindo hatopendezwa na hiyo hoja hata kidigo. Suburi atatoa 'onyo' bungeni!
 
deus kibamba namjua vizuri tokea zamani hizo Malangali Secondary, ni kichwa balaaa!mkali wa mijadala
 
Hapa ndio utaelewa tofauti ya policy makers na watu wanaoongea kwa kukariri hoja za watu na kujivika uwezo bandia wa kujenga hoja mfu, wasio na uwezo wa kutoa njia mbadala na mwelekeo, wabishi, wanafiki, wazushi,wanaoongozwa kwa upepo sio misingi ya uhalisia, watu wenye kuona umbali mfupi na wanaoweza kutoa kasoro bila kuainisha njia mbadala na wasio weza kuchukua hatua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom