Halima Mdee amjia juu mwenyekiti na kubishana naye: Live Bungeni jioni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halima Mdee amjia juu mwenyekiti na kubishana naye: Live Bungeni jioni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bibikuku, Jun 28, 2011.

 1. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Halima Mdee amemjia juu mwenyekiti wa bunge anayeendesha kikao cha jioni kuwa asitumie kiti vibaya. Kisa ni mwongozo wake kutaka Zarina Madabida athibitishe kauli zake kuhusu posho. Zogo likaibuka
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280
  yani sijawahi ona bunge linaendeshwa kishoga kama hili la tz!
   
 3. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana hawa wabunge uchwara wa CCM wanaleta kichefuchefu, huyu mwanamke wa lindi hana mvuto na hoja zake mbovu. Mdee anawaonyesha jinsi bunge linavyotakiwa liwe na si ushabiki wa CCM pasipo maendeleo
   
 4. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimependa ujasiri wa Mdee, kampa ukweli M/kiti analeta ushabiki wa kichama bungeni.
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  mwenyekiti inaonekana dhahiri kuwabagua na kuwakandamiza wapinzani.yaan basi tu,nimeudhika sana
   
 6. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Tatizo wabunge wa ccm wameandaliwa kwa sisa za majukwaani. Sasa huyo mh madabida kachangia hoja au alikuwa anahutubia mkutano wa hadhara?
   
 7. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Watakoma na Chama makini. Chadema iko juu.
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  ccm wengi mle ni njuka.......
   
 9. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa huyo mbunge wa lindi kaanza kusifia bajeti, halafu analaumu Lindi imepata pesa kiduchu. kweli wabunge wa CCM ni unafiki kwenda mbele!
   
 10. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi huyo mwenyekiti ni nani? Nimeshangaa sana baada ya kumsikia akimuamuru Halima Mdee akae chini baada ya kumtaka mbunge wa chama cha magamba kuthibitisha kauli yake. Eti mbunge aliyetangulia (wa CCM) alizungumzia vyama vinavyopinga posho bila kuvitaja. Halima akasema vyama hivyo ni Chadema na NCCR Mageuzi. Ndipo mwenyekiti huyo **** akasema kwa kuwa mzungumzaji hakuvitaja vyama hivyo eti Halima asifanye tafsiri yake. Sasa hata wendawazimu wanajua kwamba vyama hivyo ni Chadema na NCCR Mageuzi. Ni moja ya vituko vya mwaka!
   
 11. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi 100% si inamaanisha hakuna kasoro, sasa hawa wabunge wa CCM wanaunga hoja mkono kwa 100% halafu wanaanza kuporomosha matatizo. Mimi nawashangaa sana hawa watu. Afadhali Mdee angeenda kumpiga kibao yule anaejiita Mwenyekiti pale mbele.
   
 12. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Akili ni muhimu sana, eti hajataja chadema kwa hiyo hawezi kuambia athibitishe!
  Wakati kwa maelezo ya mbunge, kidole kimeelekea kwa cdm.
  Natamani ccm nao wangekua watu wazima coz utoto unawasumbua sana.
   
 13. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni bora niwe mtumwa kuliko kujiunga na CCM.
  CCM ni chama cha walafi.
  CCM ni mbumbumbu wa siasa.
  CCM mwisho wao upo karibu sana.
   
 14. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Safi sana Mdee,safi sana mtoa taarifa sababu huku Arusha mjini umeme sijaukuta tangu nilipofika ofisini saa moja mpaka muda huu(5:57 pm )hakuna umeme.
   
 15. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kazi ipo
   
 16. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #16
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kwanini kuna mtu anahitaji uthibitisho kuwa wanaccm kwa umoja wao ni genge la watu maskini Kifikra , kimtazamo na walafi wa Taifa hili, kuna anaebisha , nauliza nani anabisha ? HAWA NI WADOKOZI, WANANUFAIKA NA MITAJI YA WATANZANIA DUNI NA MASKINI, DAMN, CCM MNAKERA SANA
   
 17. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Inasikitisha sana kwa mwenyekiti kuwanyanyasa vyama vya upinzani
   
 18. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu kuna **** mmoja wa CCM akawasha mic na kusema 'katoka kuvuta huyo' hivi wananchi wa jimbo lake wanaamini kabisa wana Mbunge wa kuwawakilisha... From the bottom of my heart, I hate whoever blieves in CCM.
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Magamba ya kenge in action!
   
 20. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hapo arusha tatizo la umeme limekuwa sugu.....sikufanikiwa kumaliza kazi zangu sababu ya umeme........nalazimika kurudi huko julai mosi......
   
Loading...