Miundombinu-Kiwalani DSM

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Huwa najiuliza ivi kiwalani kuna madiwani na je mbunge wao nae huwa anawataembelea?
Nasikia hajawai ata kukanyaga maeneo kama kiwalani kisiwani barabara mbovu toka miaka ya 1980 nilivyokuwa nasoma pale vituka shule ya msingi miundo mbinu hasa barabara ata kifusi hola
Jamani si muige mfano wa temeke mikoroshini angalau wana rami mpaka majumbani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom