Jf great thinkes wasilieshni bajeti zenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jf great thinkes wasilieshni bajeti zenu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Jul 1, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu tumesikia budget ya tanzania na tunadelea kusikia bajeti na mipango ya matumiziya mendele ya wizara na idarambal mbali.

  Napenda kuleta challenge . Assume wewe ni waziri wa wizara yeyote ya JK au waziri Kivuli. je bajeti yako au bajeti kivuli itakuwaje?
  • Utendaji wa wizara yako unaathiriwa na nini kuna mapungufu gani
  • Ni miradi gani specific utapanga kukamilisha kwa mwaka mmoja kwenye wizara yako
  • Ni miradi gani mikubwa utapenda kuanzisha na itakamilika baada ya miaka mingapi
  • Vipaumbele/ priotisies za manendeleo katika waizara yako zitakuwa zipi?
  • Vitu gani utaagiza vifanyke kwenye wizara na idara zilizo chini yako kufanyia kupunguza matumizi na gharama za kiunedeshaji ili pesa ziende kwenye maendeleo
  Nawasilisha
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Duh great thinkers wa Jf wanapenda kuwa reactive tu let be proactive mara moja moja . Tu assume sisi ndo mawaziri tutoe pririty zetu then tuone sisi kwa sisi tutakosoana vipi?
   
Loading...