Lembeli awashangaa wanaoponda maandamano na migomo

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
mbunge wa kahama james lembeli amewashangaawabunge wanao jadili na kunyoosheana vidole juu ya maandamano na migomo inayoendelea hapanchini na kusema tanzania sio kisiwa kwa kuwa maandamano na migomo vinatokea duniani kote. Lembeli amesema migomo ilikuwepo angu enzi za mwalimu na kuna watu waliochapwa viboko lakini leo hii wako bungeni na ni viongozi safi. Amesema inasikitisha kuona wanafunzi wanapanga msitari kwa zaidi ya masaa matatu halafu wakiingia benki wanaambiwa pesa hazijaingia. Katika mazingira kama hayo lembeli amesema hata kama angekuwa yeye asingekaa kimya angelalamika hivyo serrikali inapaswa kuhakikisha wanafunzi wanaostahili mkopo wanapatiwa mikopo yao kwa wakati ili kuepusha migomo na maandamano. Amewataka wabunge wache kujadili masuala hayo kwa kua sio kitu kigeni.

source: bungeni dodoma.
 
Nionavo mimi wapingao migomo na maandamano ya amani wanapenda/taka risasi.
 
migomo ni haki ya wanachuo.

Migomo ina ituratibu wake kisheria. Maandamano ni ruksa, hakuna kibali ni taarifa tu. Majinga ndio yasiojua maana ya maandamano. Hata watu wanapoenda kuzika huandamana, Kuna ibada fulani zinakuwa na maandamano, Mengi huongoza maandamano kuchangisha pesa, Raisi anaongoza maandamano ya mwenge, Dk Slaa anaongoza maandamano ya elimu ya uraia, nini cha ajabu. Mpaka kieleweke
 
Safi Lembeli.......hao ndio wanasiasa wakomavu...kama haki haitendeki sasa unategemea nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom