Stahili/posho za wabunge wa tanzania

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Stahili za Waheshimiwa Wabunge ni zifuatazo:
i) Mshahara wa Mbunge
· Gross Salary - Sh. 2,305,000/=
· Kodi - Sh. 588,000/=
Net Salary - Sh. 1,717,000/=
ii) Posho ya Ubunge; (MP – Constituency Allowance)
iii) Posho ya Vikao vya Bunge na Kamati zake;
iv) Posho ya Madaraka kwa Viongozi;
v) Entertainment Allowance kwa Viongozi;
vi) Posho ya Kujikimu ndani na nje ya Nchi;
vii) Posho ya Mavazi anaposafiri nje ya Tanzania;
viii) Posho ya Msaidizi wa ofisi ya Mbunge;
ix) Posho ya Usafiri wakati wa Vikao vya Kamati na Mikutano ya Bunge;
· Vilevile, kuna Posho ya Mafuta (Lita 1,000) kwa mwezi na Mfuko wa Maendeleo wa Jimbo
 
Hivi kwa sasa hili ndilo la muhimu kuliko yale ya Dowans, richmond, katiba na maandamano ya CDM? Hii nchi ina laana ya kushoboka.
 
Hivi kwa sasa hili ndilo la muhimu kuliko yale ya Dowans, richmond, katiba na maandamano ya CDM? Hii nchi ina laana ya kushoboka.
yote ya muhimu, kwa namna ulivyohoji, wewe pia ni mshoboko.
 
Back
Top Bottom