Kwa hili nasema wanachama na wapenzi wote wa Magwanda ni wasaliti kwa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili nasema wanachama na wapenzi wote wa Magwanda ni wasaliti kwa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Jul 1, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa hali hii kwa nini tusiseme wanachama + wapenzi wa CDM a.k.a MAGWANDA ni wasaliti na wasio watendea haki viongozi wao ?. Mwaka jana wakati wa uchaguzi mkuu walihudhuria kwa wingi kwenye mikutano ya Magwanda, ila mwisho wa siku kura wakampigia Dkt. JMK, sasa huu kama sio usaliti ni nini ? . Mlimfanya Slaa aaanze kuota njozi za kujenga ghorofa hewani kwa kudhania atakuwa RAIS, ila mwisho wa siku matokeo yalipokuwa yakitoka hakuamini macho yake na kupandwa na pressure mpaka kufikia kulazwa hospitali, na kuchanganyikiwa kwa kutoa kauli zisizo eleweka . Sasa huu kama si usaliti kwa kiongozi wenu ni nini nyie wapenzi na wanachama wa Magwanda ?. Kwa usaliti huu ningekuwa kiongozi wa Magwanda ningewashauri kuwafukuza wanachama wote tuanze upya
   
 2. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu ccm ni sawa na kinyesi. hakuna namna unaweza kukipamba kinyesi.

  WaterSupplyTanzania.jpg
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nakuuliza kwa nn kura ulimpa JK ? jibu
   
 4. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siezi pigia kura mtu ambaye hakai nchini kwake akitalii huku na kule kutafuta matibabu ya maradhi yake ya kuanguka-anguka
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Jua Kali
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  acha makelele mwambie nape aje kwenye hiki kituo morogoro aone umuhimu wa kuondoa posha wazee wapate pensioni hata kama kidogo

  PHOTO:kituo cha kulelea wazee Morogoro mjini

  [​IMG]
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mlijaa kwenye mikutano, na kura mkampa mwingine, huu ni usaliti kabisa, nchi nyingine unastahili unyongwe kabisa !
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mlitakiwa mfukuzwe chamani nyie, huu ni unafiki wa hali ya juu
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ndio ulimpigia kura ? basi ndio huyo ameshinda na ndio rais wako na familia yako
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hahahaha! Pole yako km unafikiri jk alipewa kura na wtz wenye akili zao. AMEIBA KURA ZETU. Afu nahisi huu mgao wa umeme utakuwa umekuvuruga AKILI kama basi unayo.
   
 11. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ma-CCM bana huwa yananifanya nikubali safari bado ni ndefu!!!
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mwenyekiti wa CCM kijiji cha Miwaleni akiondoka kwenye ofisi za chama kuelekea kwa BEATRICE SHELUKINDO kwa kuchaguliwa kuwa mbunge
  Safari ya umbali wa 48 km
   
 13. M'bongo

  M'bongo Senior Member

  #13
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi nadhani kichwa chako kina walakini. Hoja zako hazifanani na jina ulilojipa!
   
 14. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jinga Kubwa
   
 15. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  umekaa kitaarabutaarabu tu!
  IKo siku wote mliopo CCM mtajuta kuwa kwenu huko.
   
 16. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kweli hapo ni Tanzania?! Mungu wangu' wabunge wanajadiri bajeti ya nani?! Hao wazee wanambunge wao?! Kuna mkuu wa wilaya?! Mkoa?! Rais anawaza nini?!
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mzee wa watu mlimpa pressure mpaka akawa hospitalised , kwa nn mnakuwa wasaliti kwa chama chenu ? mnaudhi sana
   
 18. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  sasa na wewe unaongea nini? Huu ni wehu kabisa, sio bure!
   
 19. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaaaa MAGWANDA kwa kuchakachua hamjambo, hii picha ni ya siku nyingi sana ilipigwa RWANDA
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa nn ulikwenda kwenye mikutano ya Slaa, na kura ukampa JK ?
   
Loading...