Askofu Dk Mdegella ampa onyo kali katibu wa CCM Arusha

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) dayosisi ya Iringa Dkt O.Mdegella ameibuka na kumvaa katibu wa CCM mkoa wa Arusha Bi.Mary Chatanda kwa kauli yake ya kuwataka maaskofu na mashekhe kuvua majoho na kuingia katika ulingo wa siasa .

Asema siku zinavyozidi kwenda ndivyo inavyoonyesha ni kiasi gani uchaguzi wa umeya Arusha ulifanyika kwa njia ya uchakachuaji na kukitaka chama tawala kukaa chini na Chadema ili kuondoa kasoro hizo huku akimpa onyo kali katibu wa CCM kuacha mara moja kuwatukana viongozi wa dini

(Habari hii ni ya Mwezi Januari 2011)
 
"MARY" Amechukua Jina la Mama wa Yesu na anadiriki kuwatukana Mitume wa Yesu. Dhamira itamsuta na kujirudi haraka iwezekanavyo
 
It seems we're spending more resource for discussing Mary Chitanda, who is Maria Chitanda? mwenye CV yake bandika hapa, isije tukawa tunaongea na kajitu tu.
 
Bishop, usihangaike na huyu mama, sio yeye, akili zake zimechakachuliwa na waliomuweka hapo alipo,
kwa mtazamo wake wa mawazo napata shaka na qualification zake za yeye kuwa pale, si ajabu amewekwa pale kwa mambo yetu yaleeeee,... Shame on u Marry Chatanda unauza utu wako kutetea ufisadi na uwizi wa wazi, unaniudhi wewe.
 
mna maana huyu ni sofia s sasa...??

CCm siji inatoaga wapi hawa ambao tayari wamekata tamaa na maisha... utadhani wanatumia vvu
 
Huyu Chatanda akapimwe inawezeka kachanyikiwa na fedha za mafisadi. Huyu wa kumwopa sana anaweza kuua. Waangalie sana CCM baadaye atawageukia na kuwaua.
 
Yaani maaskofu hawa wote Chattanda umewaona uchuro tu na kuanza kuwambia maneno ya chumbani eti waanze kuvua minguo???
 
Hawa maaskofu mbona sijawai kuwasikia wakati watoto wadogo wakinajisiwa na wenziwao, ambalo ni tendo baya la kishetani zaidi ya kiti cha umeya wa Arusha?! I really don't like these hypocrites with their political agenda and propaganda.
 
Mary chitanda nimiongoni mwa wale vilaza wa ccm waliopata vujinafasi sababu ya kukeketwa na wakina makamba, hana akili kabisa,ila ajichunge maana arusha hawakawii kutokea na kumpa nako za ukweli.
 
Hawa maaskofu mbona sijawai kuwasikia wakati watoto wadogo wakinajisiwa na wenziwao, ambalo ni tendo baya la kishetani zaidi ya kiti cha umeya wa Arusha?! I really don't like these hypocrites with their political agenda and propaganda.
Some pipo bwana! Kweli hawakusema kitu? Kuna arguments zingine zinapoteza mda tu!
 
Bishops, prepare your sheep for the Glorious Journey, leave other foolish business behind. never turn down your focus.
 
Bishop, usihangaike na huyu mama, sio yeye, akili zake zimechakachuliwa na waliomuweka hapo alipo,
kwa mtazamo wake wa mawazo napata shaka na qualification zake za yeye kuwa pale, si ajabu amewekwa pale kwa mambo yetu yaleeeee,... Shame on u Marry Chatanda unauza utu wako kutetea ufisadi na uwizi wa wazi, unaniudhi wewe.

Mpimeni labda tatizo ni mapepo tu, atapona.:mod:
 
Dr Mdegela naye ana yake Mazito!Tusome mwanahalisi ya Jana!
walio wa Mungu Mtawaona Kwa Matendo!
 
Huyo si ndio yule askofu anayetuhumiwa uzinzi na ufisadi? Kuna thread kule kwa habari mchanganyiko juu ya maovu yake! Hivi kwa nini maaskofu wote wanajifanya wanamagwanda?
 
Huyo si ndio yule askofu anayetuhumiwa uzinzi na ufisadi? Kuna thread kule kwa habari mchanganyiko juu ya maovu yake! Hivi kwa nini maaskofu wote wanajifanya wanamagwanda?

Nami niliwahi kuambiwa pale Iringa jamaa tendo la Ndoa mpaka Ofisini na mke wa mtu na kuwinda students, yeye ni gwiji!
 
"MARY" Amechukua Jina la Mama wa Yesu na anadiriki kuwatukana Mitume wa Yesu. Dhamira itamsuta na kujirudi haraka iwezekanavyo

Nenda kwa Askofu ukatolewe pepo wachafu huyo mtume aliyetukanwa ni nani?, UDINI na UKABILA wenu CHADEMA utalifikisha wapi Taifa hili? Matatizo mnayotaka kuyaleta ni makubwa kuliko ya UFISADI. Yesu alishasema VYA MUNGU MWACHIE MUNGU VYA KAISARI MWACHIE KAISARI. DINI NA SIASA NI MAJI NA MAFUTA. Pamoja na utumbo wa Chatanda alichosema ni sahihi kabisa. Viongozi dini wanataka kuhubiri siasa vueni majoho kama alivyofanya Dr. Slaa.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Back
Top Bottom