Tunaelekea miaka 50 toka uhuru wa Taifa letu pendwa Tanganyika.
Kwa faida ya kumbukumbu kwa sisi wa vizazi vya hapa karibuni na vile vijavyo, nakaribisha wakongwe na vijana kuchangia maada tajwa...
Chama cha mapinduzi kina mapacha yanayotakiwa kuvuliwa magamba kwa kifupi yanajulikana kama RACHEL na ndani ya Chadema kuna mapacha yanayojulikana kama SHIKA ambayo nayo yanatakuja kuvuliwa hivi...
Tafadhali nawaomba viongozi wa Chadema hekima ya hali ya juu itumike kulimaliza tatizo la Shibuda. Nawaomba msikurupuke. Najua alifanya makosa kwenda na msimamo wa chama, lakini kwa vile Chadema...
Na Mabere Marando,
GAZETI la Citizen la 20 Aprili 2011, lilichapisha makala ya Ayub Rioba, ikimsifu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilson Mukama, kwamba ni mtu mwenye uwezo wa kukifufua...
TANZANIA YA MIAKA IPATAYO KUMI NA SITA SASA IMEJAALIWA KUWA NA VIONGOZI, WANASIASA NA WATAWALA MAJEURI!!!
Wanajibu watakavyo kana kwamba wale wanaojibiwa sio waliowaweka madarakani pindi...
Wanajamii wenzangu kama kweli itakuja itokee mapacha wafukuzwe ndani ya uzima kama tunavyohubiriwa. Amini mimi siku hiyo nitatafuta choo cha shimo nijidumbukize humo, maana mara imekuwa sio siku...
Tunapoendelea kutafakari miaka hamsini ya Uhuru wa Tanzania bara hatuna budi kupitia mojawapo ya kurasa nyeti sana za taifa letu - uamuzi wa kuondokana na mfumo wa vyama vingi na kuwa rasmi nchi...
Kwa jinsi nchi yetu ilivyo na kuleana leana kwa mambo ya kipuuzi Republic of South Sudan watatupita kimaendeleo sasa hivi.....
Na je ikiwa hivyo nani wa kumlaumu? Tunajifunza nini kutokana na...
Ndugu zangu wanaJF...
Leo nimeondoka Bukoba Kuja Karagwe, na barabara hiyo iko kwa matengenezo na kama sikosei ni wachina ama wajapani...Sasa kilicho nishangaza ni kuwa wachina/Wajapani hawa...
"Tanzania Daima Leo habari yao kuu ni 'Kikwete amjenga Zitto'. Nisingeshangaa Kama habari hii ya kizushi ingetoka Jamboleo. Nashangaa habari hii kuandikwa na gazeti linalomilikiwa na Kiongozi Mkuu...
Vijana wakiwa wameweka net za asante bush katika goli ikiwa ni muendelezo wa kukuza vipaji katika fani ya mpira.
changamoto inayojitokeza hapo Je kulikuwa na uhitaji wa net hizi???????? Je jamii...
Does democracy the way it is defined really suit every nation and culture?
Please don't get me wrong, I'm not against democracy. I just see it not working in it's present form when introduced in...
Wakati Dr Slaa anaibua hoja za Richmond na EPA bungeni Dodoma aliitwa mwongo na mara kadhaa Spika wa Bunge alimwambia afute kauli yake. Sisi wote ni mashahidi. Lakini baada ya ukweli kugundulika...
Ezekiel Kamwaga. Ni yule mwandishi mahiri wa gazeti la Mwanahalisi ambaye hapa majuzi imeripotiwa kwamba ameajiriwa kama Afisa Habari wa Klabu ya Simba. Mwandishi huyu amesitisha ajira yake...
Ndugu wanajf, jana kulikuwa na uchaguzi wa mwenyekiti wa soko la nguzo nane lililopo shy mjini. Uchaguzi huo uliwakutanisha uso kwa uso makada wa vyama viwili asimu nchini namaanisha CHADEMA na...
Kama mfanyabiashara nimekuwa nikisafiri mara kwa mara na kushuhudia magari yakikamatwa na trafiki polisi ambao mimi ninawaita polisi rushwa kwa tuhuma mbalimbali kama vile speeding, gari kuwa...