Written by zamko // 11/07/2011 // Habari // 9 Comments
Asalam-alaikhum ndugu wazanzibari wa ndani na nje ya Nchi yetu tukufu ya Zanzibar. ama sina mengi yakusema ila kumshukuru (AS) kwakutupa...
It will now cost more for foreign workers and firms seeking an opening in Tanzania. Investors and local businessmen will, too, be required to pay nearly double the current cost to hire foreign...
Katika facebook wall yake, Zito Kabwe amelilaumu gazeti la Tanzania daima kwa kuandika habari inayohusu Zitto kujengwa na Kikwete. Binafsi sina shida na lawama alizolitupia gazeti, kwa kuwa...
Leo asubuhi nimepitia pale Ubungo stand ya mkoa na kukuta hali ya giza ambayo sikuamini kabisa kwani kama nchi iliyopata uhuru miaka 50 iliyopita leo stand yetu kuu inakosa hata taa (Umeme) na...
DRC transport infrastructure needs more investment focus
By: Natasha Odendaal
8th July 2011
Source: MiningWeekly
The Democratic Republic of Congo's (DRC's) increasing copper and cobalt...
Wana jf taarifa nilizozipata kutoka Urusi ni,
Wanafunzi watanzania waliohitimu shahada zao mwaka huu(june 2011) katika chuo kikuu cha urafiki(Lumumba)nchini Urusi chini ya udhamini wa...
Drama iendeleeeeeeee hakika muda utasema,"WHAT GOES AROUND COMES AROUND",STRATEGY NZURI KAMA INGETUMIKA HIVYO KWA WABONGO KITAANI,HAKIKA WANGEFANIKIWA,NI LAHISI SANA KUZIDANGANYA AKILI ZA WASOMI...
Monday, July 11, 2011, 7:18
Habari kuu, Mtanzania
*Ni Tundu Lissu na John Mnyika
*Wawapeleka puta mawaziri
"Waondoa shilingi, CCM wawazidi ujanja
Na Waandishi Wetu, Dodoma
WABUNGE wa Chama cha...
Bungeni Jioni Hii .Giza haliondoi kivuli.
Herbet Mtangi
Ukisimama na kivuli kinasimama, Kivuli hakifukuzi mwanga bali kinafuata Mwanga. Hivyo giza haliondoi kivuli Bajeti mbadala ya upinzani...
Vyama Vya Siasa Msingi Wa Ujenzi Wa Vijana Wenye Uchungu Wa Kuchuma?
Vyama vya Siasa ndio msingi wa ujenzi wa vijana ambao ndio viongozi wa Taifa la leo na kesho.Kwa mfumo wa mbio za vijiti...
Hali ya hewa ndani ya vyama vikuu hivi wili kuelekea uchaguzi wa 2015, c mzuri. Huku ccm wakipambana na lowassa anayetaka urais kwa udi na uvumba na akielekea kupata sapoti na kuwaachia NAPE NA...
Written by Nassor20 // 11/07/2011 // Habari // 6 Comments
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wameitaka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuwasilisha mswaada wa sheria ya kuanzisha Shirika la maendeleo...
Kujivua gamba CCM hatihati
*Makamanda wa shughuli waanza kurudi nyuma
*Siku 90 zayeyuka, kikao NEC maswali magumu
Na Tumaini Makene
Majira
WAKATI Watanzania wakisubiri kwa hamu kikao cha...
Je huu si ufisadi pia?
Makampuni ya cm yanatumia nyimbo za wasanii kwa wateja wao maarufu kama caller tone na kuwatoza wateja kiasi fulani cha pesa,swali langu ni hili je wasanii wenye nyimbo...
Leo asubuhi hii (Morning Magic-MagicFM) waziri wa michezo Nchimbi kapigiwa simu, kaulizwa inakuwaje
juzi uwanjani neti(nyavu) ilikatika ikabidi ifungwe katani(ilichukua zaidi ya dk 5 kufunga...
Wakuu kati ya CUF; CCM, TLP, NCCR MAGEUZI na Chadema ni chama kipi chenye mawazo bora na yanayotekelezeka.....
Kwa CCM ni kipi bora walichotufanyia?,
Kwenye kupiga Kura je inafaa kuwe na BOX la...
Zanzibar Kuanzisha Shirika Lake La Ndege.
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imesema iko mbioni kuanzisha shirika lake la ndege, badala ya kuendelea kutegemea mashirika ya nje, jambo...
Ndio Tanzania imekufa kiuchumi na kijamii na kisiasa.
Ufisadi umeshamiri na mafisadi wametamalaki.
Kiongozi mkuu wa nchi hana habari na watanzania?
Hakuna wa kumuuliza au kumhoji Raisi, Bunge...
Jamani naombeni mnisadie kujua kuwa mbunge wa jimbo la Rorya, Mh. Lameck Okambo Airo (CCM) yuko bungeni Dodoma au yuko wapi? Na kama yuko bungeni anafanya nini kwani hajaongea hata siku moja pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.