Ndugu wana Jf nimefikiria na nikaona kuwa kabla hujazungumzia upinzani, Serikali na CCM vinachuana sana. Waziri wa Utawala bora Ofisi ya Rais Mathias Chikawe amemsafisha Chenge lakini kauli ya...
Wahisani waikomalia serikali
Na Jacob Daffi - Imechapwa 06 July 2011
Mwanahalisi
WAFADHILI wa serikali wameonyesha kuwa hawatatoa fedha kwenye bajeti ya taifa hadi watakapokuwa wamepata maelezo...
Friday, July 8, 2011, 11:05
Habari kuu, Mtanzania
*Mbunge wa Ubungo hajui kwanini ulianzishwa
*Lissu asema haukuridhiwa na Wazanzibari wote
*Adai Mwalimu Nyerere alimzidi ujanja Karume
*Mnyaa...
Ndugu watanzania wenzangu, nimeona nijitokeze hadharani na kuiweka wazi nia yangu ya kugombea urais wa zanzibar kupitia CUF. Nimeshawishika kugombea urais wa zanzibar ili kutekeleza yafuatayo:
1...
Aliwahi kushika nyadhifa kadhaa kwenye chama cha wananchi (cuf) na hata kuwahi kuwa mkuu wa kambi ya upinzani bungeni (kama kumbukumbu zangu ziko sawa). Kukatokea mtafaruku cuf, akavuliwa wadhifa...
- Salaam wananchi wenzangu,
kuelekea uchaguzi wa 2015 ni muhimu sana wananchi tukaanza sasa kujadili wanaotufaa kwenye nafasi za uongozi wa juu yaani Rais na Mawaziri, na sababu; wasiotufaa pia...
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema tofauti ya kipato kati ya matajiri na masikini, rushwa na ufisadi vinatishia mustakabali wa amani nchini na kusisitiza kuwa mafisadi ndani ya CCM...
kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu naomba nitoe ushauri najua kuna viongozi wakubwa hapa mnaweza kuchukua au kuacha
1.TUFUTE DHANA YA KILIMO KWANZA
hii dhana ya kilimo kwanza ni miradi...
Maofisa Usalama wawatimua waandishi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha, jana amekutana na wawakilishi wa Kampuni ya Barrick na wazee wa...
Nijiavyo mimi, mkewa kiongozi anayetambuliwa kitaifa ni mke wa rais, japokuwa utambulisho wake ni wa kikatiba. Huyu ndiye ambaye angalau akisafiri na mumuwe anatakiwa kulipwa posho ya safari kama...
copy link hii na paste kwenye brouser yako....CIA wameeleza kila kitu juu ya muungano na mapinduzi ya zanzibar hasa ukianzai page ya 117 hapo ndipo wameeleza vizuri juu ya muungano ulivyoanza...
​Kumekuwa na upotoshaji mwingi tangu kutokea na mgomo wa chuo kikuu cha dodoma.
Ikumbukwe kuwa mgomo uliopelekea kufungwa kwa Chuo Cha Sanaa Na Lugha Cha Chuo Kikuu Cha DODOMA mnamo tarehe...
Kwa mujibu wa Katiba ya sasa ya Tanzania (ILIYOTUNGWA NA CCM) ya 1977 na sheria za uchaguzi mTanzania anaruhusiwa kugombea ama udiwani, au ubunge, au udiwani na ubunge kwa pamoja au urais...
JUBA (Reuters) - Tens of thousands of South Sudanese danced and cheered as their new nation declared independence on Saturday, a hard-won separation from the north that still leaves simmering...
Fredrick Mwakalebela aliyewahi kuwa katibu mkuu wa TFF na Mgombea ubunge wa Iringa mjini (CCM) kabla hajawekewa mizengwe ya rushwa, amepata kazi shirika la makumbusho ya Taifa (National museum of...
Salaam wana JF,
nimekua nikifuatilia bunge letu la JMT kwa muda mrefu sasa mwaka huu na kuja kugundua kwamba Bunge letu kumbe si bunge kwa tafsiri halisi kama chombo cha kuwakilisha wananchi na...
Written by zamko // 08/07/2011 //
Pinda to launch $800m oil exploration vessel
By Correspondent
8th July 2011EmailPrintComments Says govt won`t incur any costs when it begins work in September...
Makamu Rais wa Zanzibar na Katibu mkuu wa CUF Bw. Seif Sharrif Hamad amekiri kufuatwa na watu wakimuomba ajiunge na CCM ili kudumisha muafaka uliofikiwa huko Zanzibar.Kwa mujibu wa yeye mwenyewe...
Hayo ni kwa mujibu bungeni leo,Lissu akasema iyo barua inayomtaja chenge na idrisa ilikuwa addressed kwa attorney general je mnaitaji ushaidi gani kuwaburuza mahakamani hawa jamaa.Nami nongezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.