Uhusiano wa SHIKA na RACHEL

Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,988
4,507
Chama cha mapinduzi kina mapacha yanayotakiwa kuvuliwa magamba kwa kifupi yanajulikana kama RACHEL na ndani ya Chadema kuna mapacha yanayojulikana kama SHIKA ambayo nayo yanatakuja kuvuliwa hivi karibuni. Uhusiano wa RACHEL na SHIKA ni wa siri kubwa sana ila inasemekana lengo la hayo mapacha yaani SHIKA na RACHEL ni moja 'heri tukose wote'.
 
Siyo kweli. Zitto hajawahi kufanya dhambi kubwa inayo mfanya awe mzigo mkubwa kwa Chadema. Zito anajitahidi sana kueleza hisia zake ila akitofautiana na akina Slaa tunaanza kumshambulia. Ebu mpeni muda ila mjue agenda zake na mwaweza kuona kama waonavyo akina Slaa na Mbowe kuwa ubora wa Zitto ni mwingi kuliko madhambi yake.

Zitto chadema inamugwaya hata siku moja hawawezi kumgusa kwa lolote!
 
Magafu,

wakosane mara ngapi? Busara za mkiti ndo zinacheza tu hapo.
 
Chama cha mapinduzi kina mapacha yanayotakiwa kuvuliwa magamba kwa kifupi yanajulikana kama RACHEL na ndani ya Chadema kuna mapacha yanayojulikana kama SHIKA ambayo nayo yanatakuja kuvuliwa hivi karibuni. Uhusiano wa RACHEL na SHIKA ni wa siri kubwa sana ila inasemekana lengo la hayo mapacha yaani SHIKA na RACHEL ni moja 'heri tukose wote'.

Nothing to discuss:dance::dance::dance::dance::dance::grouphug::grouphug::grouphug::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound:
 
Siyo kweli. Zitto hajawahi kufanya dhambi kubwa inayo mfanya awe mzigo mkubwa kwa Chadema. Zito anajitahidi sana kueleza hisia zake ila akitofautiana na akina Slaa tunaanza kumshambulia. Ebu mpeni muda ila mjue agenda zake na mwaweza kuona kama waonavyo akina Slaa na Mbowe kuwa ubora wa Zitto ni mwingi kuliko madhambi yake.
Dhambi kubwa wewe unaichukuliaje ni ipi hiyo.
 
Back
Top Bottom