Waziri Sitta amlipua Lowassa Bungeni

nrongalema

Member
Apr 11, 2011
48
5
Hatimaye mh. Samweli sitta amemjibu lowassa kuhusu uamuzi mgumu...''uamuzi mgumu wenye 10% siyo uamuzi mgumu.!

fafanua kidogo mkuu, wengine tumegawiwa giza mchana. ha ha ha ha!!!!

nimemuona mkuu kweli lakuvunda halina ubani.Maskini lowasa wenzie hataafanyaje ndo basi tena! Kikwete amesha mtumia kama pedi haitajiki tena.Ajiachie siasa.

Amesema maamuzi magumu yanakwenda na uadilifu. Sio 10 pc, mikataba mibovu na kitoto.

Katika hali isiyokua ya kawaida Waziri wa Afrika Mashariki mh Samuel Sitta amesema anawashangaa watu wanaosema serikali imeshindwa kuchukua maamuzi magumu ni wao wenyewe ambao wameiingiza serikali katika Mikataba mibovu inayotesa wananchi mpaka sasa,Sitta ameyasema hayo wakati akichangia mjadala wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mazingira + Muungano,hii inaonesha Sitta alikua akimjibu Lowassa ambae ametanabaisha serikali ya Jk haichukui maamuzi magumu,wama Jf nawasilisha kwenu

lowassa ni kama chumvi iliyoharibika...nashangaa hadi sasa serikali na chma chake havijachukua hatua zozote dhidi yake...

Ameongezea muungano ukishindikana uvunjwe,amekataa kabisa uundwaji wa serikali tatu ya muungano

Hatimaye mh. Samweli sitta amemjibu lowassa kuhusu uamuzi mgumu...''uamuzi mgumu wenye 10% siyo uamuzi mgumu.!

hivi ile wiki yake ya kuwa kiongozi wa shuguli za serekali bungeni iliisha? au ndo anamalizia kiaina?

sita noma. nilijua tu lazima ataacha headlines na sijui kama atapewa tena hiyo nafasi, lakini meseji senti

nimemuona mkuu kweli lakuvunda halina ubani.Maskini lowasa wenzie hataafanyaje ndo basi tena! Kikwete amesha mtumia kama pedi haitajiki tena.Ajiachie siasa.

Hapa sina uhakika nani ni pedi kati ya Lowassa na Sitta. Mtumiaji anaeleweka ni Kikwete. Na mtumiaji hana uchaguzi wa pedi. Akiwa na shida ni lazima atumie pedi iliyo karibu. Wakati ule wa nchi ikiwa kwenye giza, Pedi alikuwa Lowassa. Sasa nchi iko gizani, Pedi ni Sitta. Kuna wakati pedi lilikuwa kundi la Lowassa ndani ya NEC likimsulubu Sitta. Ni makosa makubwa kumwamini Kikwete katika habari ya kutumiwa kama pedi. Kila mtu ana zamu yake ya kutumiwa. Kinachohitajika ni pedi zenyewe kujipanga vema, ili Kikwete akizitumia zimletee mwasho mapajani!

Nawasilisha

Duh
hivi sasa ni sasaba mchana tukale wale dashi chuoni sijui tukakae wapi

Ndio nnachompendea Sitta hajui kufichaficha maneno kama Pinda!Amesema maamuzi magumu yote yanayoendana na rushwa sio maamuzi magumu.

Kama upo udsm nakushauri ukakae uwanjan au kule nyuma ya swimming poola,au bonde la mkandala......ndio maeneo nayoyakumbuka hayo when i waz there
Duhhivi sasa ni sasaba mchana tukale wale dashi chuoni sijui tukakae wapi

Similar Discussions

Back
Top Bottom