TANESCO kimewaka, jenereta lalipuka Ubungo!

PSI Factor

Member
Apr 21, 2011
32
143
Wakuu nipo hapa Ubungo na mashine moja imelipuka ghafla umeme ukakata kote. Nahisi tutaambiwa nchi itaingia gizani rasmi
 
Bongo tambarare! IPTL, Symbion, Sijui na mazagazaga gani mengine lakini bado tu umeme ni wa shida!!!!! Mwaka wa 20 sasa! Halafu yule Kikwete anasema eti kukosekana umeme nchini ni kwa kudra za Mwenyezi Mungu!!!!
 
Bongo tambarare! IPTL, Symbion, Sijui na mazagazaga gani mengine lakini bado tu umeme ni wa shida!!!!! Mwaka wa 20 sasa! Halafu yule Kikwete anasema eti kukosekana umeme nchi ni kwa kudra za Mwenyezi Mungu!!!!

Hivi na wewe umekosa Kazi ya kufanya mpaka umsikilize Huyo Kiliza, Muongo na Mnafiki *&%$#%%%$ Nchi ishamshinda Huyu. nguvu ya Umma inahitajuka kumtoa huyu Pumbavu
 
Hivi bado kuna watu wanaofikiri kuwa serikali hii ina uwezo wa kumwajibisha mtendaji yoyote kwa kosa lake?
Mbona sie tushaachana nayo siku mingi na tumekubaliana na uhalisia wa BORA LIENDE.
Tunachoomba tu ni Mungu atujalie uvumilivi kusubiria hii awamu ipite, maana matatizo iliyobeba inaonekana kuwa miaka 15 vile.
 
JK ameonekana ubungo songas plant, mafundi wa songas jasho tupu wanavyokimbizana umeme utarusi muda si mrefu ujao stay tuned
 
Kama umekatika mikoa mingi kwa muda huo mmoja basi itakuwa ni karibu nchi nzima maana hata kwa waja leo waondoka leo umekatika muda huo huo. Miaka 50 ya uhuru umeme umetushinda na inasemekana watanzania wanaopata/wanaotumia umeme ni asilimia 10 pekee. Sasa fikiria ingekuwa hata 30% ya wa-tz wana nishati ya umeme, kwa hali ilivyo sasa labda kila sehemu ingekuwa inapata umeme kwa masaa mawili kwa siku au chini ya hapo.
 
ndio miaka 50 ya uhuru wa TZ hiyo, hata mbeya giza totoro. duu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sijamwona mwenye kaya jk sijuwi ingekuwejee? Nahofu kama watu wametoka sarama aibu isiyo elezeka bado tulivo kua na viongozi ving'ang'anizi hatajiuzulu mtu kama wanahonga kamati bajeti zipitiswe itakuwa hii walishapoteza aibu dunia imeona kesho watuwakiandamana juu yaumeme polisi wetu na wanasiasa ucwara wanaanza kusingizia cdm (-90 magamba kazi mnayo)
 
Wadau wa Moro na iring wanasema nako totoro naona gridi itakakuwa imezimwa kama sikosei
 
Bongo tambarare! IPTL, Symbion, Sijui na mazagazaga gani mengine lakini bado tu umeme ni wa shida!!!!! Mwaka wa 20 sasa! Halafu yule Kikwete anasema eti kukosekana umeme nchi ni kwa kudra za Mwenyezi Mungu!!!!

duh nimeipenda avatar yako-inavyopenda maisha ya watu wengine
 
Back
Top Bottom