Upotevu wa Mapato ya Serikali-Karagwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upotevu wa Mapato ya Serikali-Karagwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dickson Ng'hily, Jul 11, 2011.

 1. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Ndugu zangu wanaJF...

  Leo nimeondoka Bukoba Kuja Karagwe, na barabara hiyo iko kwa matengenezo na kama sikosei ni wachina ama wajapani...Sasa kilicho nishangaza ni kuwa wachina/Wajapani hawa, magari na mabuludoza yao hayana namba rasmi yaani hayajasajiliwa, sasa nilitaka kujua je huu si wizi!Mbona kwa mswahili huwezi kuliendesaha gari lako kama sikosei zaidi ya mwezi bila kusajiliwa,Je huu si upotevu wa pato kwa serikali?Naomba msaada wenu...
   
 2. b

  baba koku JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kwanza tujuze hii barabara inajengwa kutoka wapi mpaka wapi na je ni kwa kiwango cha lami? Hata tukiacha suala la mapato lakini pia suala kuu ni kutotii sheria. Au kwa kuwa hiyo mitambo iko huko vijijini ambako hakuna mkono wa sheria?
   
 3. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Pole sana karagwe maana ndo mnayaona hayo, barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami kutoka kyaka mpaka bugene. Huko Kahama kuna wachina walikaka miaka 1.5 hawajaweka plate no.magari kama 100 na kila siku wanawapita traffic police .la ajabu wajerumani ambao pia wapo barabara hiyo wao wanitii sheria. Mwisho wa mwezi utaona askari toka shy wanazunguka ofisin kwa wachina
   
Loading...