Republic of South Sudan watatupita kimaendeleo sasa hivi.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Republic of South Sudan watatupita kimaendeleo sasa hivi..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzee wa njaa, Jul 11, 2011.

 1. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi nchi yetu ilivyo na kuleana leana kwa mambo ya kipuuzi Republic of South Sudan watatupita kimaendeleo sasa hivi.....

  Na je ikiwa hivyo nani wa kumlaumu? Tunajifunza nini kutokana na south sudan? Tuamke Watanzania jamani wakati ndio huu.
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Kama tusipoiondoa CCM madarakani tutabaki kuwa nchi masikini kuliko zote duniani licha ya kuwa nchi yetu ni tajiri kwa raslimali kuliko nchi zote duniani.
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hilo liko wazi kabisa...maana pale juba watanzania wafanya biashara ni wamasai..wanauza dawa za miti shamba...............wakenya wndo wanachangamka ile mbaya + waganda
   
 4. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa uongozi huu wa koo za viongozi waasisi 2ctegemee maendeleo nchi hii(biznes as usual)
   
Loading...